Timu ya Arsenal Imeendeleza Rekodi mbaya wakiwa katika uwanja wa nyumbani baada ya jana kukubali kipigo cha magoli 2-1 dhidi ya Wolves pale Emirates.

Wolves walikuwa wa kwanza kuandikisha ushindi dakika ya 27 ya mchezo, kwa goli safi lililowekwa wavuni na Pedro Neto kabla ya beki wa Arsenal Gabriel kusawazisha dakika tatu baadae.

 

arsenal, Arsenal Waendeleza Rekodi Mbovu Emirates., Meridianbet

Daniel Podence aliwahakikishia Mbweha hao ushindi baada ya kuongeza msumari wa pili dakika tatu kabla ya mapumziko na kupelekea mchezo huo kumalizika 2-1 mpaka kipyenga cha mwisho.

Arsenal sasa imepoteza michezo 3 mfululizo ya Ligi nyumbani, mara mbili tu tangu mwaka 1977 yote katika miezi 12 iliyopita (disemba 2019 na Oktoba-Novemba 2020).


FURAHIA MUZIKI MTANDAONI HUKU UKITENGEZA MKWANJA!!

Mchezo wa Astro Legend unakupatia burudani ya muziki kupitia kasino ya mtandaoni ya Meridianbet. Utaburudika huku ukiendelea kutengeza mkwanja mrefu, jiunge sasa na uwe miongoni mwa mabingwa!!

arsenal, Arsenal Waendeleza Rekodi Mbovu Emirates., Meridianbet

INGIA MCHEZONI

12 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa