Arsenal Yakwama kwa Douglas Luiz.

Arsenal wamekwama kupata saini ya mchezaji wa klabu ya Aston villa Douglas Luiz siku ya mwisho ya dirisha la usajili.

Washika mitutu hao wa London walikua wanahitaji kupata kiungo mmoja wa uzuiaji ndo maana walipambana kumapata kiungo huyo wa Aston villa ili kuimarisha safu yao ya kiungo.

arsenal

Douglas Luiz kiungo huyu raia wa Brazil alihitaji dili hili kukamilika zaidi kwakua alishamalizana na klabu ya Arsenal katika maslahi binafsi kilichosubiriwa ni makubaliano baina ya vilabu hivo viwili.

Kufikia mpaka usiku wa dirisha kufungwa inaelezwa klabu ya Arsenal ilituma ya paundi miilioni 25 amabayo ilipigwa chini na klabu ya Villa na kufanya dili hili kushindikana.

Washika mitutu hao wa London viungo wao mara nyingi wamekua wakisumbuliwa na majeraha muda nwingi hivo walihitaji kiungo mwingine ndani ya kikosi chao lakini ilishindikana siku ya mwisho ya mwisho ya usajili baada ya dau lao kupigwa chini na klabu ya Aston villa.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.