Ndoto ya Arteta msimu huu ni kumaliza 4 bora Ligi Kuu na kutwaa mataji!
Mikel Arteta anaamini Arsenal inaweza kukabiliana na mahitaji ambayo yatawawezesha kumaliza kwenye nne bora kwenye Ligi ya Kuu Uingereza na Ligi ya Uropa.
Washika mtutu wamepoteza michezo yao miwili iliyopita ya Ligi Kuu kwa bao 1-0 na wana kibarua kukamilisha mechi saba kwa zaidi ya wiki tatu kabla ya mapumziko ya kimataifa ya Novemba.
Kutokana na kusimamishwa kwa soka wakati wa kampeni iliyopita kwa sababu ya janga la corona, msimu wa 2020-21 ulianza kuchelewa na mechi ratiba itaendelea kwenda mchaka mchaka huku mechi nyingi zikihitajika kumalizika kwa mda mfupi.
Arteta aliweza kuiongoza Arsenal hadi kuikalia nafasi ya nane kwenye ligi msimu uliopita, na kufuzu kwa Ligi ya Europa kupitia mafanikio ya Kombe la FA.
Kumaliza kwa nne bora katika Ligi ya Premia na kushinda Ligi ya Uropa kutaifungulia Arsenal njia kuelekea Ligi ya Mabingwa msimu ujao, na licha ya msongamano wa mechi Arteta haoni sababu ya kuchagua kati ya kumaliza 4 bora na kushinda Europa.
Arteta anasema atafanyia kazi maboresho ya kikosi chake kuhakikisha washika mtutu wana safu kamili inayojiamini, inayoweza kukimbizana na presha ya soka kwa pande zote Europa na Ligi Kuu.
Tunazungumzia mkwanja wa Tshs.160,000,000! Kupitia Kasino ya Mtandaonii ya Meridianbet unaweza kuwa milionea wakati wowote.



Elika
Safi sana arteta
warda
kwa speed ya Arteta wanaweza kufika Top 4
Fatina mfigi
Safi sanaa
Ernest
Kwa Arsenal ni ngumu sana kumaliza Top 4
Dorophina
Akijitahidi arteta atafikia malengo hakuna kinachoshindikana
zeiyana
arteta hanajituma sana subiru tuone mbinu zake hata fanikiwa
Adelta
Arteta Yuko makini na anajituma Sana kwenye kazi yake
Khadija
Safi sana
Sauda
Inawezekana kabisa
Lydia Emmanuel Magoti
Safii Sana Arteta
Carolyn
Hongera Arteta kwa kua na mawazo ya juu.utafika tu pigania ndoto zako
Tatu
Akuna linaloshindikana
Mwajumah
Safi sana arteta
Hopemwaikuka
Pambanen tu
Issa
Kwa mfumo wa arteta arsenal kushika top 4 ni sahih
Povel
Kwa Gunners ya sasa ni ndoto kumalizah Top 4
Sabrina
Inapendeza sana hiyo
Saupha mohamed
Safi sana
Fatuma kasomo
Safi