KIUNGO wa Yanga na MVP wa Ligi Kuu Bongo Msimu uliopita AZIZ KI amefunguka Kwa mara ya kwanza Sababu za yeye kubaki Yanga na kuzitupa ofa za timu zingine zote zilizokuwa zinamuhitaji.
“Ninajua Kaizer Chiefs na klabu zingine zinanihitaji, lakini pale mtu anapokuonesha heshima wewe pia unatakiwa kurejesha heshima” – Stephane Aziz Ki.“Rais wa Yanga (Hersi Said ) alikuja kuniona Berkane, nilikuwa nacheza dhidi ya RS Berkane Morocco (2021), baadaye wakaja kwa familia Yangu kuongea na mimi mbele ya familia yangu. Kwangu mimii niliona ni zaidi ya heshima. Unanitaka mimi nipigie simu, sema Aziz Ki nina ofa hii kwa ajili yako. Wao walikuja nyumbani”
“Walikuja kutoka Dar es Salaam hadi kwa familia yangu. Kwangu mimi hiyo ni too much, ni zaidi ya heshima wengine walikuwa wananipigia simu tu. Huwezi kupata watu 10 kama hao (Hersi).. Nina Appreciate sana na nina furaha na hii project na jinsi ilivyokuja.”
“Yanga walinionesha project, mpaka sasa ninaiamini project, ninamuamini Rais (Hersi). Naweza kusema Hersi Said ni kama baba yangu. Ninaiona project inavyokwenda na kazi nzuri inayofanyika, kwa sasa sio muda wa kuondoka Young Africans SC”
This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.
Strictly Necessary Cookies
Strictly Necessary Cookie should be enabled at all times so that we can save your preferences for cookie settings.
If you disable this cookie, we will not be able to save your preferences. This means that every time you visit this website you will need to enable or disable cookies again.