Klabu ya Barcelona imekubaliana na mlinzi wa klabu ya Chelsea Andreas Christensen aili kujiunga na klabu hiyo mwisho wa msimu huku mkurugenzi wa Mateu Alemany akifunga safari kuelekea jijini London kukamilisha usajiri huo.
Andreas Christensen amekuwa na klabu ya Chelsea tangu mwaka 212 baada ya kuijiunga na klabu hiyo akitokea klabu ya Brondby ya nchini Denmark, pia aliwai kucheza kwa mkopo kwenye klabu ya Borussia Monchengladbach inayoshiriki ligi kuu ya Ujerumani kabla ya kupata nafasi ya kucheza mara kwa mara kwenye klabu ya Chelsea.
Christensen alikuwa ni moja mchezaji muhimu kwenye mafanikio ya Thomas Tuchel kwa miezi 13 na kumsaidia kuchukua ubingwa wa ulaya na UEFA Super Cup, pia alikuwepo kwenye mchezo wa nusu fainali ya Carabao Cup ambapo walishinda dhidi ya spurs huku akikosa mchezo wa fainali dhidi ya Liverpool kwenye uwanja wa Wembley.
Christensen ni moja ya mchezaji muhimu ambaye klabu ya Chelsea wanamuazha aondoke bure kwenye majira ya kiangazi msimu huu, pia kuna Cesar Azpilicueta na Antonio Rudiger nao wapo kwenye mkumbo mmoja na pia wanaweza kuondoka bure kwenye majira kiangazi.
Andreas Christensen ambaye amecheza michezo 54 ya kimataifa atahamia kwenye dimba la Nou Camp jijini Barcelona isipokuwa majanga ya usajiri tu yatokee tu alidai Romero.
Haijawahi kuwa rahisi hivi kwenye safari yako ya kuvuna mkwanja, kasino maridhawa ya meridianbettz inakuletea mchezo wa Emoticoins unaokupa nafasi ya kufanya safari yako kuwa rahisi zaidi. Wakati ni wako nafasi ni yako na Emoticoins.