Klabu ya Barcelona bado iko kwenye mazungumzo na mlinzi wa kimataifa wa Hispania aliyemaliza muda wake kwenye klabu ya Chelsea Marcos Alonso

Marcos Alonso alijiunga na klabu ya Chelsea mwaka 2016, akitokea klabu ya Fiorentina. Kipindi alichokuwepo kwenye klabu ya Chelsea ameisaidia klabu hiyo kuchukua mataji makubwa yakiwemo UEFA Champions League, UEFA Europa League na ligi kuu ya Uingereza.

Barcelona

Kocha wa klabu ya Barcelona Xavi Hernandez anataka kuboresha nafasi ya ulinzi na Alonso ni moja ya chaguo lake.  Pia alonso alishawai kusema kuwa anatamani kurejea tena nchini Hispania baada ya kushindwa kung’ara na Real Madrid.

Ukiachana na Alonso Barcelona pia wanamtaka mchezaji mwengine wa Hispania kwenye klabu ya Chelsea ambaye mkataba wake na klabu hiyo umekwisha Cesar Azpilicueta.


ALIYA’S WISHES

Bila shaka unatamani ushindi mkubwa, vipi kuhusu kujaribu Sloti hii ya Aliya’s Wishes? jaribu ushinde sasa.Kasino ya Mtandaoni

CHEZA SASA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa