Chelsea ni moja ya timu zinazowinda saini ya beki wa Villarreal Pau Torres. Pia vilabu kama Arsenal, Barcelona vimekuwa vikihusishwa kuwania saini yake majira haya ya kiangazi.
Torres, 23, beki wa kati amekuwa akivutia vilabu vingi vya Ulaya baada ya kuwa kiwango bora katika msimu wa La Liga.
Pia vilabu kama Arsenal, Barcelona vimekuwa vikihusishwa kuwania saini yake majira ya kiangazi.

Kocha wa Chelsea Frank Lampard na kikosi cha kimeruhusu magoli 44 msimu huu hivyo anahitaji kuongeza nguvu kwenye safu yake ya ulinzi.
Ada ya uhamisho ya Torres kwa mujibu wa mkataba wake ni £45million ambao bado miaka mitatu imesalia. Villarreal watahitajika kupunguiza ada yao ya uhamisho kama watahitaji kumuuza miezi ya hivi karibuni.


Magdalena
Chelsea pandeni dau mumchukue yupo vizur
Njiku
Ipo poa sana kwa wapenda soka na imetulia sana kwa mashabiki wa the blues pia frank kama atamchukua Torres ataboresha ulinzi na kutoruhusu magoli ya uzembe pale darajani
Ester jackson
Kama Chelsea watamchukuwa beki Pau Torres atawasaidia sana timu hiyo mana haina mabeki ambao wanauwezo wa juu sana hivyo atawasaidia sana .meridianbettz
Genia Sikaluzwe
Chelsea inabidi wapambane kumpata beki pau Torres itawasaidia sana
Dorophina
Chelsea wapambane kumpata atawasaidia sana tu
Gabriel
Roman Torres ni beki wa kati wa miraba minne ambaye hupendwa sana
Mwandishi mmoja wa BBC Shamoon Hafez alikaa siku moja katika jiji la Panama City, mji mkuu wa taifa hilo la Amerika ya Kati, akiwa na beki huyo anayechezea klabu ya Seattle Sounders.
Kukumbuka bao la ushindi
Torres ni beki lakini alifunga bao la ushindi la kufuzu kwa utulivu sawa na wa mshambuliaji
“Wakati huo ni muhimu sana kwangu na kwa familia,” anasema Torres huku akionekana kutazama mbali, na tabasamu usoni, akikumbuka yaliyotokea usiku wa 10 Oktoba mwaka jana alipofunga bao la ushindi dhidi ya Costa Rica.
“Ni jambo la kihistoria, jambo ambalo daima litakuwemo moyoni mwangu na rohoni. Kamwe sitaisahau siku hiyo.”
Ulikuwa bila shaka mwisho wa furaha baada ya mechi za kusisimua za kufuzu kwa Kombe la Dunia kutoka eneo la Concacaf.
Wapinzani wao Costa Rica walikuwa tayari wamefuzu kwa michuano hiyo ya Urusi, lakini majirani zao Panama walihitaji bao kufuzu moja kwa moja, baada ya kusawazisha kupitia bao ambalo lilikuwa na utata kuhusu iwapo mpira hasa ulikuwa umevuka mstari kwenye lango.
Wenyeji walikuwa wanatafuta bao la pili kwa udi na uvumba na nahodha wao Torres alipewa ishara na meneja wao Hernan Dario Gomez.
Mpira ulimfikia na akafanikiwa kumzuia mkabaji wa Costa Rica, akauruhusu pira udunde kidogo na kisha akatoa kiki kali na mpira ukatua wavuni.
Hivyo n bek makin sana 👍 ni habar njema sana kwa lampard kumuona
Lydia Emmanuel Magoti
Roma torrez nibeki wakati ambae upendwa sana
Saupha mohamed
Torrez beki mzuri sana …wajitaidi wamchukue asaidie kuzuia magori
warda
Torres Mnyama#Meridianbettz
Rehema
Torrez ni beki Yuko makini Sana njema sana kwa lampard kumuona
Hope mwaikuka
Torres ni noma
Amiri Kayera
Ameonyesh kiwango kizur San Sasa kaz ni kwake kuchagua kwenda
Furahav
Kijana yuko vizuri.
Devotha
Beki huyu atafaa sana chelsea kwa sababu kocha anatengeneza kikosi kwa ajili ya msimu ujao
Tahiya
Uamuz ni wake
Povel
Gud news
farida ahmadi
Wekeni dau tyuu muumchukue huyo mchezaji hata kiwasha vzr Paul Torres Yuko vzr lazima ataziba mapeng kwa Chelsea
Janeflora malisa
Nice
Salma
Habari nzuri
Theckla
Huyu jamaa ni beki mzuri Sana Kama Chelsea ikafanikiwa kumpata itakuwa imepata beki mzuri
Omary lukumbi
Hyu beki bora wamchukue arsenal maana timu yao ina hitaj malekebisho mengi sana
Evaluziga
Torres ni mnyama
David Pere
Wambebe tu atawasaidia na watafanya vizuri msimu ujaoo
Theonestina
Torres ni bonge la beki
Hamidu
Asante kwa update!
Johnmary joel
Nimchezaji mzuri sana kama watakubariana wamchukue#meridianbett
Ernest
Hapa tunasema taa ya kijani imeshawaka kwa Pau Torres, ni muda wake sasa kwenda kukipiga kwenye klabu kubwa na bora zaidi kutokana na kiwango chake sasa.
Angelina
Torres yuko vizuri kama wakifanikiwa kumpata atawasaidia sana
Khadija
Torres ni noma#meridianbettz
Tatu
Chelsea wakaze buti kumpata kijana
isha
Torres yuko vizuri
Caroline
Chelsea changamkia fursa…Torres yupo vizuri
felister
Torres huu ni ndy muda wake
Shafii
Chelsea kwa sasa wajizatiti Sana kukamata mabeki maana hiyo ndio shida yao kubwa kwenye kikosi cha lampad
Fatuma kasomo
Torres huu ndio muda wake
Sabrina
Maoni:Torres yuko vizuri chelsea wafike dau tu
Sadick
Chelsea inahitaji kuimarisha safu ya ulinzi kuliko timu yoyote kubwa kwa sasa#meridianbettz
mwakalosi
lampard aelewi eti nae
Samiah
Niwake uwamuzi
lombo
mambo ni moto na meridianbet