Chris Smalling anafanyiwa mchakato wa kusalia Roma kwa mkopo.
Klabu ya Roma inaripotiwa kuwa katika harakati za kuiwinda na kukamilisha saini ya mlinzi wa Manchester United kwa mkopo mwingine lakini wakiwa na shaguo la kumnunua kwa €12m msimu ujao wa joto.
Mwandishi wa habari wa Sky Sport Italia Gianluca Di Marzio anadai kuwa Roma wamefanikiwa kukubaliana punguzo la bei baada ya mazungumzo ya kuendelea na Manchester United.

Roma ilimchukua Chris Smalling kwa mkopo wa kulipwa kwa msimu wa 2019-20 wakiwa na chaguo la kununua mchezaji kwa € 20m msimu huu wa joto.
Lakini kwa mujibu wa Sky Sport, anaripoti Roma wamefanikiwa kupata punguzo na watamsaini mchezaji huyo wa miaka 30 kwa mkopo mwingine. Pia wana chaguo la kumnunua kwa dau la punguzo la € 12m msimu ujao wa joto.
Klabu hiyo imeripotiwa kuwa wanaandaa mkataba wa miaka mitatu kwa mchezaji huyo wa zamani wa kimataifa wa England.
SHINDA NA HI LO
Sasa hii ni rahisi zaidi kupata USHINDI! Unatabiri karata ipi ipo chini au juu, kisha unakusanya mkwanja wako.


Frank P
Smalling ameswitch sana pale Roma asijiroge kurudi Man u
Amiri Kayera
Itakua Jambo zur km itamsajir kabisa
Neema
Kama anafaa arejee tu
aisha
Chris yuko vizuri kila la kheri
Theonestina
Habari njema
Rose kapinga
Itakua vizuri kama watakamilisha kabisa usajili wake!!!
Rehema
Kila la kheri chris
Genia Sikaluzwe
Ni habari njema
Sabrina
Itakua poa sana
Johnmary joel
Itakuwa poa sanaa#meridianbett
Shafii
Huko ndiko anahisi atakua na uwakika wa kucheza mpira wake maaana kwa sasa man u Hana namba kwenye kikosi cha sosha.
Dorophina
Sio mbaya kwa yeye kurudi Roma ameona ndipo panamfaa kwa kipindi hicho ambapo man u hana namba tena
Ester jackson
Habari njema
magdalena
kama maeona ana manufaa napo aende tu uko roma
Caroline
Kikosi cha roma kitakua atariii
Adelta
Kila la kheri Chris@meridianbettz
Mwajumah
Chris ni mchezaji mzuri sana Kila la kheri kwake
Fatina mfigi
Mambo mazur!!
felister
itakua vizuri kama watamsajili kabisaaa
Sauda
Wamchukue mazima..
Ernest
Ni Jambo zuri kwa Chris Smalling kuendelea kufurahia Soka ndani ya Roma
Lydia Emmanuel Magoti
Ni Jambo zuri kwa Chris Smalling kukipiga zidi ya Roma inapendeza sana kafanye Kaz baba
Nasra
Gud news
JULIANA
Anajua
Issa
Smalling roma kumempendeza sana ni poa kukipiga hapo
Sadick
Sijui kwanini Man Utd imeamua kumupeleka tena kwa Mkopo wakati inahitaji beki?#meridianbettz
Hope mwaikuka
Yy tu
Saupha mohamed
Jambo zuri
Shani
Smalling roma kama pamempendeza
Povel
Smalling abaki roma United ana nafasi tena
Gabriel
vizuri kama watakamilisha kabisa usajili wake
warda
Aende tu bwana