Cucho Hernandez Kutimba Laliga!

Mshambuliaji wa Watford, Cucho Hernandez amejiunga kwa mkopo na klabu yaLa Liga ya Getafe kule Uhispania wakati klabu hiyo ikitazamia kumsajili moja kwa moja.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 21 hajawahi kuchezea kikosi cha kwanza ca Watford, badala yake alitumika kwa mkopo huko katika klabu za SD Huesca na Real Mallorca.

Cucho Hernandez Kutimba Laliga!
Cucho Hernandez

Hernandez mwenye uraia wa Colombia alifwafungia Real Mallorca mabao matano katika michezo 24 aliyoicheza ya La Liga na kuwania kombe msimu uliopita.

Wakati huo huo, klabu ya Watford wamethibitisha kuhama kwa Dimitri Foulquier kwenda Granada, baada ya uhamisho wake wa awali wa mkopo mnamo Januari.

Klabu ya La Liga tayari ilikuwa imetangaza kukamilisha usajili mwezi uliopita, kwa makubaliano ya mkataba wa miaka tatu, kwa ada ambayo haijatolewa.

 


Umekuwa mteja muaminifu wa meridianbet? Kuna zawadi kibao hadi 5% ya pesa yako inarejeshwa kwako. Kila wiki unaweza kurudishiwa mpaka Tsh 250,000.

soma zaidi

37 Komentara

    Wachezaji wengi wa America ya Kusini hufanya vizuri zaidi Spain au Italy#meridianbettz

    Jibu

    Ukawe bora zaidi ili usajiliwe kabisa

    Jibu

    Cucho mtu mbaya acha tuone na wwe utafanya nini LA liga

    Jibu

    Akabadil upepo epl haikumfaa labda uspain kutakuw bora kwake

    Jibu

    Hongera yake.

    Jibu

    Nina matumain na Cucho Hernandez kuwa atafanya vizur sana Getafe maana Watford alikuwa apati namba kabisa me ninaiman huko atafanya vzur sana

    Jibu

    All ze best cucho

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Were La Liga kumenoga uko hatarii tunasikilizia uwepo wake huko La Liga

    Jibu

    Yuko vizuri kila la kheri#meridianbett

    Jibu

    Wachezaji wengi wa America ya Kusini hufanya vizuri zaidi Spain au Italy Ndio maana wengi wao wafanikiwa sanaa

    Jibu

    Hili dili likikamilika itakua poa sana

    Jibu

    Cucho yupo vizuri wakati wake sasa kupanda daraja

    Jibu

    Tunamuombea kila la kheri na safari yake ya mpira

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Kila LA kheri kwake

    Jibu

    Sijawahi mjua Huyu Dogo Asanteni kwa taarifa#Meridianbettz

    Jibu

    Yuko vizuri kila la kheri
    @meridianbettz

    Jibu

    Safi sanaaa.

    Jibu

    Cocho yupo vizuri Kila la kher#Meridianbettz

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Acha tukamuone Cucho ndani ya Laliga

    Jibu

    Kila la kheri Cucho

    Jibu

    Pongezi kwake

    Jibu

    acha tumuone akikiwasha ndani ya la liga

    Jibu

    Wamalize deal Moja kwa moja kwa umri wake ni hadhina tosha ya baadae.

    Jibu

    Wakati wake sasa cucho kuonesha maajabu yake Watford walikua wanambania tu

    Jibu

    Ki lakheli cucho

    Jibu

    Hongera kwake

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    cocha yupo vizuli wakati wake kupanda daraja

    Jibu

    Kila kheri Cocu

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Kila la heri

    Jibu

    Yuko vizuri kijana nafikiri atafanya makubwa

    Jibu

    safi sana kijana umeonesha juhudi za hali ya juu

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.