Dani Alves Aingia na Ndala Kwenye Utambulisho Wake

Dani Alves leo amewastaajabisha watu baada ya kuingia na ndala kwenye utambulisho wake kwenye dimba la Camp Nuo.

Mlinzi huyo wa Brazili leo alitambulisha rasmi na kusaini makubaliano ambayo yatamuweka kwenye viunga vya Barcelona mpaka mwisho wa msimu.

Dani Alves

Dani Alves mwenye umri wa miaka 38 anarejea tena Barcelona baada ya miaka mitano, na sasa hivi atakuwa chini ya Xavi Hernandez ambaye walicheza wote kwa mafaniko makubwa kwenye klabu hiyo.

Alves japo amesajiriwa na klabu ya Barcelona ila kwa sasa hawezi kujumuishwa kwenye kikosi mpaka dirisha la usajiri litakapo funguliwa mwezi januari, Alves atakuwa anafanya mazoezi na timu ila atakuwa nyuma ya pazia tu.Dani Alves

Kitendo cha yeye kuingia uwanjani huku akiwa amevalia koti la suti na suruali fupi chini akiwa amevaa malapa (ndala), kimetimiza ule msemo ambao waingereza wamekuwa wakiwalalamika na kuutumi ambao ni “You can take the man out of Brazil but not Brazil out of the man”


WIKI NJEMA NA CRAZY TIME CASINO!

Unasababu milioni za kucheza unavyotaka ukiwa na mabingwa meridianbet, lakini unasababu moja ya kushinda mamilioni katika kasino za mtandaoni za meridianbet. Mchezo maridhawa wa Crazy Time unakupa sababu hizo kuwa mmoja wa washindi leo hii.

 

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.