Darts : Fainali ni Wright dhidi ya Smith.

 

Mchezaji wa Darts Peter Wright amevunja rekodi ya 24 ya juu na kutinga fainali ya dunia ya Darts ambayo atakutana na michael Smith siku ya Jumatatu [Leo].

Wright alikuwa katika ubora mkubwa dhidi ya Gary Anderson na kurusha jumla ya mara 39 na kufanikiwa kuongoza kwa 6-4 katika robo ya mwisho ya nusu fainali ya dunia ya Darts.

Mapema Michael Smith alifanikiwa kushinda nusu fainali na kutinga fainali yake ya pili nadani ya miaka minne kwa ushindi wa 6-3 dhidi ya James wade.

Peter Wright alimuondoa Gary Anderson kwa rekodi ya wastani wa 104 katika sekunde 24,180! Michael Smith akiwa na wastani wa 100.98 katika ushindi wake dhidi ya James Wade.

 


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe