Steph Curry Avunja Rekodi Yake Kwenye NBA

Kama alivyo CR7 kwenye ulimwengu wa soka, Steph Curry anafanya maajabu yake kwenye mchezo wa kikapu. Ligi ya NBA inapendeza kwa uwepo wake.

Curry amekuwa kwenye kiwango thabiti kwa misimu ya hivi karibuni akiwa na timu ya Golden State Warriors. Hakika, Steph Curry ni burudani anapokuwa uwanjani.

Wikiendi hii, Curry amevunja rekodi ambayo alikuwa anaishikilia yeye mwenyewe toka mwaka 2016. Mchezo wa Golden State Warriors vs Utah Jazz, ulikuwa ni burudani ya kuweka na kuvunja rekodi za NBA.

Ulikuwa ni mchezo wa piga ni kupige baada ya Warriors kupoteza pointi 16 walizokuwa nazo dhidi ya Jazz na baadae Jazz kuongoza kwa pointi 8. Curry alipachika jumla ya pointi 28 na kuwarejesha Warriors uwanjani na kuibuka kidedea.

Burudani na shangwe kubwa lilitokea baada ya Steph Curry kupachika kikapuni mpira wa three pointer hii ikiwa ni mara ya 158 mfululizo. Hii inavunja rekodi aliyoiweka Novemba 2016 ambapo alifanya hivyo kwa mara 157 mfululizo!

Mchezo ulimalizika kwa Warriors kushinda kwa pointi 123-116


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe