Droo ya Europa 2020-21, Nani Atatoboa Makundi?

Hatua ya makundi ya Ligi ya Europa inatarajia kuanza mwezi huu, Oktoba 22 huku droo ikiwa imeshatoka, Roma, Milan na Napoli wakiwa katika makundi tofauti.

Milan wanaweza kuwa wanaenda kupata ushindani mkubwa kwenye hatua ya mtoano, pale wanapoenda kuruka viunzi dhidi ya Sparta Prague, Celtic na LOSC Lille katika kundi lake. Lakini kibarua kinaweza kumgeukia yeyote hapa kulingana na maandalizi ya hawa wote kwenye kundi H.

Washika bunduki, ambao walichapwa kwenye fainali katika msimu uliopita wao wanaenda kuchuana na apid Vienna, Molde na Dundalk kwenye kundi B. Bila shaka hawatataka aibu ya kutolewa mapema kabisa hatua ya makundi.

Vijana wa Mourinho wao watakuwa na kibarua dhidi ya Ludogorets, LASK na Royal Antwerp katika kundi J. Wakati Leicester atakuwa mzigoni dhidi ya Braga, AEK Athens, Zorya Luhansk.

Makundi: Ligi ya Europa 2020-21 Hatua ya Makundi

Europa League

 


Beti kwa Kitochi Kushinda 300,000,000!

Unajua kuwa unaweza kushinda milioni mia tatu kwa buku tu? Ndiyo! Unaweza kushinda kwa kupiga *149*10# na kubashiri. Ingia mchezoni!

Soma Zaidi

27 Komentara

    Mambo ni moto msimu EUROPA leage 2020/2021

    Jibu

    Msimu huu pataelewk san

    Jibu

    Minaiona arsenal itafika mbali sana hatakucheza fainal

    Jibu

    Ni balaa round hii

    Jibu

    Itakua patashika round hii

    Jibu

    Pagumu hapo

    Jibu

    Lazima kieleweke msimu huu

    Jibu

    apo mziki ni mzito kila timu inataka kutoboa

    Jibu

    Europa imepamba moto viwanja vitawaka moto

    Jibu

    Tunasubiri kuona nani ataburuza mkia?

    Jibu

    Mambo ni motoo

    Jibu

    Mambo ni mareshi

    Jibu

    Magropu ya Europa ni mepesi sana moja kwa moja unaona nani atapita kwenda next round

    Jibu

    Mmmh ndo patamu hapo!

    Jibu

    Europa ligi kumenoga

    Jibu

    Kwenye makundi sasa hapo ndo tutajuaga huko huko mbele kwa mbele..atakaye kuwa mbabe zaidi ya kundi la mwenzie apita huyo huyo

    Jibu

    Hapa yetu macho tunataka tuone Nani zaidi na bingwa Ni nani

    Jibu

    Ligi bombaaa

    Jibu

    Msimu huu mbona pata eleweka EUROPA

    Jibu

    Europa. Kumenogaaaa

    Jibu

    ni balaa

    Jibu

    Patachimbika bila sululu

    Jibu

    Msimu huu lazima pataeleweka.

    Jibu

    Nomaaa

    Jibu

    Imekaa poa sana 👍

    Jibu

    Magropu ya Europa ni mepesi sana moja kwa moja unaona nani atapita kwenda next round

    Jibu

    Duuh

    Jibu

Acha ujumbe