EFL Championship Kurindima Juni 20

Michuano ya EFL Championship inatarajiwa kurejea kuanzia Juni 20, huku Fulham wakiwa wenyeji wa Brentford. Hii itakuwa mwchi ya kwanza kwa debi ya Londoni Magharibi baada ya likizo ya Corona.

Mabosi wa Ligi hii wanataka michuano hii kuchezwa hadi mwisho. Leeds United na West Brom wamekalia kileleni kwa nafasi zao wakifukuzia kurejea Premier League.

Leeds United wanapambania kurejea EPL kwa mara ya kwanza toka waliposhuka daraja mwaka 2004, watakutana na Cardiff Juni 21.

Fulham na Brentfordwapo katika nafasi ya tatu na nne, hawapo katika dirisha la kufuzu moja kwa moja kwenda Premier League.

Nottingham Forest na Prestonwao katika nafasi ya tano na sita wana kibarua cha kufanya wakati timu zote zikiwa zimnecheza mechi 37.

Kila timu imesalia kucheza mechi 9, huku raundi ya mwisho ikiwa inatarajiwa kuchezwa Jumatano, Julai 22.

Jumapili, EFL walitangaza kuwa kati ya watu 1,179 waliopimwa katika raundi ya mwisho, ambao wanahusiana na Vilabu michuano Championship, ni wawili tu waliokutwa na maambukizi ya Corona.

Hizi ni taarifa njema kwa waendeshaji wa ligi kwa kuwa hawana idadi kubwa ya wagonjwa.

 


 

Tumerudi Nao! Endelea Kubashiri Nasi

BASHIRI SOKA HAPA

Meridianbet  Bashiri Mechi Zote | EFL CHampionship | EPL | LALIGA |SERIE A

45 Komentara

    Habar nzuri tunasubiria.

    Jibu

    Tunasubiri Kwa hamu kubwa

    Jibu

    Hakika n Jambo la kufurahisha na tunaisubir hatar

    Jibu

    dah mech itakuwa kali san hiyo maana wachezaj wanahamu sana ya kusakata kabumbu

    Jibu

    Habari ndo zilizobaki tunasubiria kwa hamu zote

    Jibu

    Yap..tulimiss burudani ya soka#meridianbettz

    Jibu

    Wacha soka lichezwe,tulimis xnaa,

    Jibu

    Hizi timu wakati mwingine huwa nazipenda Sana kwa sisi watu wa kubetii

    Jibu

    Wazee wakubet flusa,ndiyo hiyo mechi ndiohizo zinarudi

    Jibu

    hii ni habari njema sana kwa sisi wapenda soka

    Jibu

    Habar nzuri kwa wapenda soka na wazee wa majamvi thnks meridian bet tz kwa information

    Jibu

    Iko poa.

    Jibu

    Tunaisubiri kwahamu kubwa

    Jibu

    Tulikua tunaisubili sana kwa mchecheto

    Jibu

    Ni habari njema hizi

    Jibu

    Leeds ataweza kuvumilia mikikimikiki ya EPL kweli!! mimi ninamshaka na hawa wawili kwa sababu wanaweza panda alafu wakaburuzwa

    Jibu

    Tunaisubir kwa hamu

    Jibu

    Habari njema kwa wapenzi wa mpira

    Jibu

    Hii ni habari njema kwa sisi wapenda soka

    Jibu

    Nijambo jema Pele lime mkuta mkunaji nimwendo wakutupia mikeka meridianbettz no one

    Jibu

    Sekta nyingi zimeyumba na janga la corona lakini mambo yanarudi kama zamani ligi zote zinarejea

    Jibu

    Ni Jambo jema Pele limemkuta mkunaji ni mwendo wa kubeti

    Jibu

    Ni vizuri sana tupo tunasubiri kwa hamu sana

    Jibu

    Habari njem na ya matumain

    Jibu

    Habari nzuri

    Jibu

    Haya ndo maneno tuliyokuwa tunayangojaa kwa mda

    Jibu

    Hapo mbona kitanuka lakini mshindi atakua fulham

    Jibu

    Acha irejee jamani mana sio kwa arosto hizi

    Jibu

    Itakuwa poa

    Jibu

    habari njema sisi wacheza kamali maana tuliteseka sana kipi iki cha corona

    Jibu

    Bora irudi tulimisi iv vitu ijapokua unarejea bila mashabiki

    Jibu

    Habari njema sana kwa sisi mashabiki

    Jibu

    Wapenzi wa soka tunasubir kwa hamu

    Jibu

    Tunaisubiri kwa hamu

    Jibu

    Tunasubiria kwa gani sana wapenzi wa soka

    Jibu

    Japo corona imeludisha mambo meng nyuma ila mungu ila kwa uwezo wa mungu kila kitu kitakua sawa

    Jibu

    Tunaisubiri kwahamu kubwa

    Jibu

    piga kelele kwa EFL ake ww

    Jibu

    Hizi ni taarifa nzuri kwa waendeshaji wa ligi kwasababu hawana idadi kubwa ya wagonjwa.

    Jibu

    Habar nzur

    Jibu

    Wazee wa Championship tupo tayariiii

    Jibu

    Tupo tayr kwajil ya burdani

    Jibu

    Tunaisubili sana kwa hamu championship Caz ni ligi inayotupa sana mkwanja

    Jibu

    🤲 Leeds apande maana ni mda mrefu sana atuletee mpinzani mwingine City soon anapoteza ushindani #YNWA

    Jibu

    Tunasubiri kwa ham

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.