Zikiwa zimesalia takribani mechi 10 (kwa timu nyingi) kukamilisha msimu wa 2021/22 kunako EPL, swali ni nani ataondoka na ubingwa?

Kwenye makaratasi na msimamo wa EPL ulivyo kwa sasa, ni vita kati ya Pep Guardiola na Jurgen Klopp. Naam, ni vita ya Manchester City na Liverpool msimu huu.

City ameshacheza mechi 28 na, anaongoza ligi akiwa na pointi 69 na faida ya magoli 50. Liver wanashika nafasi ya pili wakiwa wamecheza michezo 27, pointi 63 na faida ya magoli 51. Tofauti ya pointi 6 tu ndio inaziweka timu hizi kwenye nafasi ya kwanza na pili lakini, Liverpool anamchezo 1 pungufu ya City na, anamzidi City kwa faida ya goli 1.

EPL, EPL: Bingwa ni Nani, 2021/22?, Meridianbet

Katika michezo iliyosalia msimu huu, City atakutana na Liverpool mwezi ujao, kabla ya mchezo huo, Liverpool atakua ameshachuana na Arsenal (timu nyingine inayowania nafasi 4 za juu kwenye EPL). Pengine, mchezo wa City vs Liverpool unaweza kutoa picha ya nani ni bingwa.

EPL, EPL: Bingwa ni Nani, 2021/22?, Meridianbet

Kabla ya mchezo huo, City atakua ameshacheza michezo 2 nyuma huku Liverpool atakua ameshacheza michezo 3 (ikiwemo kiporo chake) na hivyo, kunauwezekano mchezo huu ukawakuta wakiwa na idadi sawa ya michezo kunako EPL.

EPL, EPL: Bingwa ni Nani, 2021/22?, Meridianbet    EPL, EPL: Bingwa ni Nani, 2021/22?, Meridianbet

Kwenye nafasi ya 3 na 4, Chelsea (michezo 26, pointi 53),  Arsenal ( michezo 25, pointi 48), Man United (michezo 28, pointi 47), West Ham (michezo 28, pointi 45) na Spurs (michezo 25, pointi 42) wanawania nafasi 2 zilizosalia nyuma ya City na Liverpool.

EPL, EPL: Bingwa ni Nani, 2021/22?, Meridianbet EPL, EPL: Bingwa ni Nani, 2021/22?, Meridianbet

Kundi hili la nafasi za kucheza mashindano ya Ulaya linapambaniwa kwa udi na uvumba. Uwenda Arsenal na Spurs zikawashangaza watu kama watafanikiwa kuondoka na pointi 3 kwenye michezo yao ya viporo wakati huu ambao, Man United na West Ham zinapoteza alama. Hakika, kuelekea mwishoni mwa ligi, burudani ndio inanoga zaidi.

Usikae mbali na kiswaswadu chako, kumbuka, unaweza kubashiri na Meridianbet ukiwa sehemu yeyote na wakati wowote ndani ya Tanzania. Ni rahisi, piga *149*10# kutandaza jamvi lako!


 

VUNA MKWANJA NA SHINDANO LA EVOPLAY SPRING AWEKING

Mchongo mpya mjini ni Shindano la Evoplay Spring Aweking katika kasino maridhawa za meridianbettz. Pata mgao wako wa TSh 25,000,000  katika michezo kibao ya kasino na sloti ziliyochaguliwa kushiriki.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

SOMA ZAIDI HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa