EPL: Yatangaza visa 103 Vipya vya Uviko-19

EPL, ligi kuu ya Uingereza imetangaza visa vipya 103 kwenye vilabu vyake wakiwemo wachezaji na wasaidizi, ni kiwango cha juu kurekodiwa kwa wiki tokea walipoanza kufanya vipimo mwezi May mwaka jana.

Bodi ya ligi leo imethibitisha kwamba kuanzia Jumatatu 20 Disemba hadi Jumapili 26 Disemba, wachezaji na staff wa benchi 15,186 walipimwa na kati yao 103 walikutwa wana maambukizi mapya.

EPL

“Bodi ya ligi imeanza kuchukua hatua za kujikinga na uviko-19 kwa kuvaa barakoa, kukaa kwa umbali, kupunguza muda wa matibabu na pia kuongeza kasi ya upimaji, pia bodi inafanya kazi kwa pamoja na vilabu ili kuhakiksha usalama wa watu na kupunguza hatari ya kuenea kwa Uviko-19.

“Pia inashirikiana kwa karibu na serikali kuu, serikali za mitaa, taasisi na makundi mbalimbali ilikuweza kufuata mabadiliko yanayotolewa na miongozo kwa ustawi mzuri wa baadae.” Waraka wa bodi ya ligi


KUWA MILIONEA MSIMU WA SIKUKUU NA SAHARA RICHIES

Unaanzaje siku yako katika msimu huu wa sikukuu, mchongo upo meridianbet kasino. Sloti pendwa ya Sahara Richies inaweza kukufanya ukawa milionea katika kufunga mwaka huu, Jiunge na ufurahie kasino maridhawa kutoka nyumba ya mabingwa.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.