Christian Eriksen amesema kwamba hajaonesha kiwango chake tangu ajiunge na Inter lakini ameona maendeleo makubwa siku za usoni baada ya kuchangia goli kwenye ushindi wa 2-1 Inter walipocheza dhidi ya Sampdoria.
Eriksen alikuwa katika ubora wa hali ya juu siku ya Jumapili, na alianza kwa kutoa asisti na kufungua ubao wa mabao wakiwa katika uwanja wa nyumbani baada ya kurudi kwenye ligi ya Serie A.

Baada ya kufunga goli kwenye nusu fainali za Coppa Italia dhidi ya Napoli wiki iliyopita, Eriksen alimtengenezea nafasi ya kufunga Lukaku katika dakika ya kumi na kuwafanya wawe mbele kabla Martinez kufunga goli la pili ilipofika dakika ya 33 walipo wakaribisha Sampdoria kwenye uwanja wa San Siro.
Mchezaji huyo wa zamani kutoka klabu ya Tottenham amekuwa akipambana kuonesha kiwango kizuri tangu aiache lugi ya EPL na kutua Inter mwezi Januari, amekuwa mzuri tangu ligi zirudi baada ya kusimama kwa muda.
Aliiambia Sky “sidhani kama mlikuwa mkimuona Eriksen wa ukweli, nitaendelea kuwa vizuri na nimatumaini yangu nitafunga zaidi na zaidi. Nimeanza kufanya vizuri tangu tukutane na Napoli ingawa hatukufanikiwa kusonga mbele haijalishi haikua bahati kwetu.
“Nimepata nafasi chache usiku wa leo nimejaribu kufunga sana na nategemea kufanya hivyo siku za mbele.”

Eriksen,ambaye kwenye mchezo dhidi ya Sampdoria alipiga mashuti matano kwenye lango la Samdoria, aliongeza: “mambo yanaendelea kukaa vizur, nadhani yalikuwa maamuzi sahihi kuja hapa. Nilikaribishwa vizuri sana kwa pande zote kwa mashabiki na wachezaji wenzangu.
“Najivunia kuwa katika timu hii kiukweli Inter walinitaka. Ingawa tunacheza bila uwepo wa mashabiki uwanjani lakini mambo yanakwenda vizuri na kila mtu hapa.
“Kipindi cha kwanza kulikua na nafasi nyingi na nilinufaika na hizo nafasi kabla Samdoria hawajazifunga ilipofika kipindi cha pili.


warda
Kikubwa ni kujiamini,Ericksen anajuhudi sana #Meridianbettz
felister
vizuri Eriksen tunasubiria kuuona ubora wako zaid
Theonestina
Sawa sisi mashabiki tunaisubir kuuona
Evaluziga
Kikubwa kukuamini
Sadick
Ni kiungo mshambuliaji mzuri na naamini atafanya vizuri zaidi Inter#meridianbettz
Salma
Ni afadhali hata mwenyewe unajitia moyo
Leonard
Ericksen bado anauwezo wa kupambana
Khadija
Eriksen anajiamini sana#meridianbettz
Magdalena
Mimi NikiwA kama shabiki nausubiria kuuona ubaora na maajabu yako
Antony Luseno
Tottenham walifanya kosa kumwachia Ericksen kuondoka,bado mchango wake ulikuwa una umuhimu.
Elika
Yuko vizuri huyo
Lydia Emmanuel Magoti
Safiii Sana ujakosea kikubwa kujipa moyo kujiamini Kama unaweza wahonyeshe kaz bwana mkubwa
Mwajuma
Ngoja tuvute subra ili kuona maajabu
Samiah
Subra huvuta heri ngoja tuone
Edgar
mapambano yale yale nakukubali sana
Rehema
Goja tusubiri tuone mashamsham
Johnmary joel
Kujiamini ndojambo la msingi#meridianbettz
isha
Ericksen yuko vizuri sana
Issa
Erikssein ni bonge la mchezaji anajua anachokifanya na anachosema anaweza kukitekeleza vizuri
Furahav
Wamvumilie tu atafanya mengi sana.
Amani
naamini atafanya vizuri zaidi Inter#meridianbettz
Hidaya
Mashabiki zako tunakusubiri kwa hamu
Devotha
Tunataka kuona vitendo uwanjani hatutaki maneno sie
fatumakasomo
Subira yavuta heri
Omary lukumbi
Eriksen n mchezaj mzr sana sasa najiuliza kwa nn spurs walimuachia maana bado ni bora mnoo hata Madrid alikua kwenye rada yao man United pia mtu hatar kwenye faulo hyu tunamjua sana mashabiki wa man United hua akosei mkicheza na timu aliokuwepo yeye ukiona anaenda kupiga faulo yeye wewe hesab goli na kama umeweka pesa yako kwenye timu yao usiwe na shaka kama tatufa kahawa au soda unywe kabisa bila shaka
farida ahmadi
Kweli kabisah hajaongopa na sisi tunasubiri ufundi wake uwanjani akipige vizuri ni kiungo mzuri Sana
Christa
Tunasubiri tuone
Hamidu
Jamaa anajua sanA! Msimu ujao entermilan mtafaidika naye sana#meridianbettz
Njiku
Kiwango allicho kionyesha ERIKSEN akiwa tottenham kilikuwa kikubwa sanaa na vilabu vikubwa viliitaji sahihi ya nyota huyo wa Denmark mimi naona akiwa sahihi kwenda inter millan angebaki Tottenham kwa sababu inter na Tottenham viwango vile vile tu
joeblas
Afanye arud Tottenham tuu
Dorophina
Tunachohitaji ni utendaji kutoka kwa Christian sio majigambo
Latifa juma mohamed
Vitendo ni Bora kuliko maneno tunasubur kuyaona
Shafii
Makala nzuri ericksen uwezo wake unajulikana Yuko vizuri Nina Imani inter hawajafanana makosa kumnasa straker huyo
Gabriel
Nice update 👍# meridianbet
Samira
Ni mshambiaji mzuri atafanya vizuri zaidi
Sabrina
Maoni:Christian Eriksen ni mchezaji mzuri sana alionyesha kipaji chake Tottenham ingawaje mwenyewe amegundua kutoonyesha umahiri wake toka aingie Inter bado anayo nafasi ya kuonyesha kipaji chake ndio mashabiki wake wanataka kuona kutoka kwake
Povel
Ngoj tuone next season mpra michezo wa wazi
Samira
Kujiamini ndio mwanzo wa ushindi
Neema juma
Tunangoja kuona vitendo zaidiii
Ernest
Nilisikitika sana kuona Eriksen akiuzwa alipokuwa Spurs, Ufundi ambao huyu jamaa anao ndani ya uwanja haikuwa jambo zuri kwa Spurs kumuuza, Kweli ameshaanza onyesha moto ndani ya Inter, Nimeangalia goli ambalo lukaku alifungua dhidi ya Sampdoria zile One two zilivyopigwa adi lukaku akascore Balaaa, Mimi ni shabiki yake namba moja nadhani ata mwanangu nitamwambia nataka ucheze soka safi kama la Eriksen, Iniesta au Xavi.
mwakalosi
kwa walichotufanyiwa spurs kutunyima kutuuzia huyu ericksen hatu
Amiri Kayera
Namkubar san
Theckla
Anajua sana
Hope mwaikuka
Sawa champ
Frank Patrick
Aina ya wachezaji ninaowakubali duniani
Mwanaidi
Huyu jamaa yupo vizuri
Asia Abdy
Safii tunataman tuone
Genia Sikaluzwe
Huyo jamaa yuko vizuri
Caroline
Usituangushe mashabiki
Zeiyana
Inter wampe mda tu ericksen atawafanyia makubwa zaidi ya haya
Ester jackson
Daaah hatari sana nimependa anavyo jiamini mana ukienda katika vita unatakiwa uwe kifua mbele maadui wakuogope
Neema hassan
Ericksen fundi wa mpira
Angelina
Hatutaki maneno, kazi tu
Emmy cleopa
Ahsante kwa makara
Tatu
Tusibuli tuone mambo mazuri ayataki haraka
Chiku
Yupo vizuri sana