Kiungo wa Man United na timu ya taifa ya Ureno – Bruno Fernandes, amenukuliwa akisema anaweza kumsaidia Cristiano Ronaldo kuweka rekodi duniani.
Fernandes na Cristiano Ronaldo wanacheza pamoja kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Ureno. Ronaldo anaisaka rekodi ya kuwa mfungaji bora duniani katika ngazi ya timu ya taifa, rekodi ambayo kwa sasa inashikiliwa na mchezaji wa Iran.
“Kwangu, nadhani na wengine pia, imekuwa ni jambo la kawaida. Kwa mtu yeyote anayeangalia mechi, asipofunga ni mechi mbaya kwa kila mtu kwasababu ni kawaida kwake kufunga.
“Unalisubiri goli lake au afanye kitu cha tofauti. Kimsingi, ninafurahi kupata nafasi ya kucheza nae, na ninaimani ataifikia rekodia nayoitafuta.
“Labda ninaweza kumsaidia kuifikia hiyo rekodi tukiwa na timu ya taifa.”
Fernandes ametunukiwa tuzo ya mchezaji bora wa mwaka kwenye timu ya Manchester United. Hii ni baada ya kupata 35.5% ya kura zilizopigwa na mashabiki wa timu hiyo na kuwabwaga Martial na Rashford.
SHINDA NA MERIDIANBET!
Tengeneza pesa kidijitali kwa kubashiri mbio za farasi hapa Meridianbet! Chagua nani ashinde, unakusanya mkwanja.


Ernest
Kwa kiwango cha Fernandes sasa ukijumuisha na wachezaji wengine wa Portugal unaona ni rahisi kiasi gani kwa Ronaldo CR7 kuendelea kufanya mabalaa makubwa katika timu ya Taifa
Caroline
Ronaldo atakua tu mfungaji bora haitaji support ya mtu.ni juhudi zake zitamfikisha uko
Mwajumah
Cr7 akipambana ataifikia tu iyo levo aongeze juhud tu#Meridianbettz
Adelta
Ronald atakuwa sahii na mwenye uwezo mkubwa@meridianbettz
Nasra
Ronald yuko vzuri
Tatu
Cr7 hana mpinzani pale Portugal
Sauda
Ronaldo anajua
Shani
Fernández ni mchezaji ambae anajua anachosem na kutenda juu ya hilo linawezekana
Hopemwaikuka
Cjaelewa vzur hapa
Gabriel
Fernando’s yuko sahihi kabisa maana wote n taifa moja na anauwezo wa kumtengenezea mazingira mazur
Zeiyana
Toka wachezaji watoke kwenye mapunziko ya korona kumekua na mabadiliko makubwa sana hii inaweza ikawa ndio mwisho wa Ronaldo kua mfungaji bora
Mwanahamisi
Ronaldo jembe
Lydia Emmanuel Magoti
Itakuwa vizuri Fernandes kumpiku Ronaldo kuwa na Rekodi nzuri kwake nimchezaji mwenye Rekodi nzuri Sana nanimfungaji mzuri Sana anajua jamaa yupo vizuri
Elika
Kijana anakiwango cha juu
Christa
Sa Fernandez na Ronaldo yupi amsaidie mwenzie?
Dorophina
Cr ajitahidi kujituma kwa jitihada atafikia malengo
Fatina
Ronald yuko vizur akijitaid atafika mbali
Magdalena
Fernandez YUPO sahihi kabisa uwezo wake kimpira YUPO vizuri
Janeflora malisa
Kijan yupo vzr
Issa
Hilo fernandez anawez tu
Sabrina
Anaweza kumsaidia akafikia malengo yake
Mariam mtandama
Anajituma sana
Salma ngende
Yupo vizuri
Povel
Kwa performance ya bruno now natumain kama watacheza pamoja na Ronaldo anawez kufik na kuvunja redoki ya dunia
Rose kapinga
Ronaldo anajiweza na ana juhudi atafika popote pale atakapoitaji kufika
Rehema
Yuko vizuri
Mwanahamisi
Kijana yupo vizuri
Samiah
Yupo sawa kjn
Angelina
Cr7 anaweza
Njiku
Cr7 atabaki kuwa cr7 bila kulinganisha na mchezaji yeyeto wa ureno pia Fernandes anatakiwa juhudi ya ziada kuweko rekodi ya Ronaldo ureno
Amiri Kayera
Kwa Bruno bado San Ronaldo record yake kubwa
Khadija
Ronaldo yupo vzr#meridianbettz
Sadick
Huo ni mradi mkubwa kuvuka record ya Mu-Iran aliyestaafu akiwa ameifungia timu yake ya Taifa goal 109. Anahitaji kuwa ktk afya nzuri na kocha kumupanga mara kwa mara kuvunja record#meridianbettz
felister
ajitahidi anaweza fikia malengo
Saupha mohamed
Akazee sana
Latifa juma mohamed
Cr7 Hana wa kumpinga.
David Pere
Kwa kiwango cha Fernandes sasa ukijumuisha na wachezaji wengine wa Portugal unaona ni rahisi kiasi gani kwa Ronaldo CR7 kuendelea kufanya mabalaa makubwa katika timu ya Taifa
Genia Sikaluzwe
Yuko vizuri