Mchezaji nyota wa klabu ya Borussia Dortmund Erling Haaland ameondolewa kwenye kikosi cha kwanza cha timu huku kiwa na taarifa nyingi zikimuhusisha na kujiunga na klabu ya Manchester City.

Kutokana na tetesi za Erling Haaland kuhusishwa sana na kujiunga na vilabu vya Uingereza na hususani klabu ya Manchester City ambao kwa sasa wapo karibu sana kumnsa mshambuliaji huyo, wawakilishia wa klabu ya Man City wameonekana mara kwa mara nchini Ujerumani.

Erling Haaland

Waraka uliotolewa na klabu ya Dortmund unasema, “wachezaji hawakuwa na mazoezi leo na tulimruhusu Erling Haaland kushughurika na mambo yake binasi.”

Huku mwandishi mashuhuri wa habari za usajiri Fabrizio Romano aliandika kwenye ukurasa wake wa Twitter, “Haaland amefanikiwa kufanyiwa vipimo kama mchezaji mpya wa Man City leo, na anarudi Dortmund. Na hitimisho litafainya mwisho ndani ya wiki hii.”

“Man City wamewaambia bodi ya BVB kuwa watavunja kifungu cha usajiri huo masaa machache yajayo.”


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa