Beki wa kati wa timu ya taifa ya Marekani Miles Robinson yupo kwenye shaka kubwa ya kukosa michuano ya kombe la Dunia mwaka huu baada ya kupata jerahakwenye mguu wake wa kushoto.

Beki huyo ambaye anaichezea klabu ya Antlanta United inayoshiriki ligi MLS alipata jeraha hilo katika ushi ndi wa 4-1 dhidi ya Choicago Fire dakika ya 14 siku ya Jumamosi.

Atlanta walithibitisha siku ya Jumatatu kwamba mchezaji huyo atafanyiwa upasuaji na haiajulikana ni kwa muda gani atarejea na huenda akakosa michuano ya Qatar 2022 ya kombe la Dunia mwezi Novemba.

“Tumesikitishwa na Miles,” Berhalter alisema katika taarifa. “Amejidhihirisha kama mchezaji bora katika mwaka jana na kufuzu kwa Kombe la Dunia. Tutakuwa tukimfikiria na kumtakia mchakato mzuri wa kupona.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa