FIFA: Brazil vs Argentina Kurudiwa Tena

 Shirikisho la mpira wa miguu duniani FIFA limetumbilia mbali rufani ya Brazil na Argentina ya kutotaka kurudia kucheza mchezo wa kufuzu kombe la dunia baada ya bodi ya niayohusika kuamua kuwa mchezo huo urudiwe tena.

Mchezohuo ambao ulisimama dakika chache baada ya kuanza pale moja ya afisa wa afya wa barzil kuingia uwanjani na kumzuia moja ya mchezaji wa Argentina anayechezea ligi kuu ya Uingereza kutokucheza na kudai kuwa amevunja kanuni za Uviko-19 ya kutojitenga.

FIFA
FIFA, Afisa wa afya akimzuia mchezaji wa Argentina asicheze kwa kuvunja sheria za karantini

Timu zote zimefuzu kushiriki kombe la dunia nchini Qatar mwaka huu, huku Brazil akiongoza kundi na Argentina akifuata na kushika bafasi ya pili. Lakini shirikisho mpira duniani FIFA mwezi February waliamuru mchezo urudiwe tena.

“Baada ya kuchambua malalamiko ya pande zote na kufuatilia jambo lilitoketa kwenye kesi hii, kamati ya rufani imethibitisha kwamba mchezo utarudiwa,” waraka wa FIFA ulisema.

FIFA awali waltoza faini ya $50,322 kwa vyama vyote viwili vya mpira vya Brazili na Argentina kwa sababu ya kuarishwa kwa mchezo huo. Pia waliwapiga faini nyingine ya kutosimamia vizuri swala la usalama kiasi cha 250,000 Swiss francs ambacho kimepinguzwa na kamati ya rufani hadi 100,000 Swiss francs leo.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe