Union Berlin Waangukiwa na Rungu la UEFA

klabu ya Union Berlin imeamrishwa kutotumia baadhi ya majukwaa yao katika uwanja wao kwenye mchezo unaokuja kutokana na tabia ya kibaguzi iliyofanywa na baadhi ya mashabiki wake kwenye mchezo wa ‘ Europa Conference League’.

Mmoja wa shabiki alipigwa picha akionesha ishara ya Nazi kwenye mchezo dhidi ya timu kutoka Israel, klabu ya Maccabi Haifa kwenye dimba la Olympiastadion jijini Berlin tarehe 30 septemba huku chama cha ‘Deutsch-Israelische Gesellschaf’ wakilalamika kwa kutolewa lugh’a chafu na kumwagiwa bia kwa waisreli.

BERLIN

Pia walipeleka malalamiko kuwa kuna shabiki alimpora bendera shabiki wa kike kutoka Israeli na kujaribu kuichoma moto kabla ya kuzuiwa na afisa wa polisi na baadhi ya mashabiki.

Kwenye taarifa iliyotolewa na UEFA inawataka Union Berlin kutotumia majukwaa yao mawili yanayotumia na mashabikli wa nyumbani, pia itabidi waweke bango ambalo litakuwa linapinga ubaguzi lenye maneno “NoToRacism” kwenye michezo yao ya nyumbani ya UEFA.

Union Berlin watacheza mchezo mwingine wa UEFA kwenye uwanja wao wa nyumbani tarehe 4 septemba dhidi ya Feyenoord.


MCHONGO WA PESA NA CIRCUS FEVER

Mchongo wa mkwanja mrefu kutoka kasino bora za mtandaoni za Meridianbet. Mchezo wa Circus Fever unakuweka katika nafasi nzuri ya kuwa mshindi. Furahia kasino maridhawa kutoka nyumba ya mabingwa meridianbettz.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.