Chan, Morocco Yaweka Historia.

Mashindano ya kimataifa kwa wachezaji wanaocheza ligi za ndani barani Afrika, Chan. Yamemalizika wikiendi hii.

Timu ya Taifa ya Morocco imeweka historia ya kuibuka kidedea mara mbili mfululizo kwenye mashindano hayo.

Morocco waliingia kwenye mashindano haya kama mabingwa watetezi baada ya kuibuka kidedea msimu uliopita. Japo walianza kwa kasi ndogo, mambo yalikuwa tofauti kwenye michezo yao ya mwisho kwenye hatua ya makundi.

Morocco alikuwa kundi moja na Togo, Rwanda pamoja na Uganda. Alishinda 1-0 dhidi ya Togo, akatoka suluhu na Rwanda kabla ya kuwagaragaza Uganda 5-2.

Wachezaji wa Morocco wakifurahia ushindi wao.

Katika hatua ya robo na nusu fainali, The Atlas Lions waliwaburuza Zambia na Cameroon kabla ya kuwafata Mali kwenye hatua ya fainali kwa mwaka 2021.

Magoli ya Soufiane Rahimi na El Kaabi yalitosha kuwapa ubingwa Morocco ambapo pia – Rahimi amemaliza mashindano haya kama mfungaji bora (magoli 5) na mchezaji bora wa mashindano ya Chan 2021.

Hakuna timu iliyowahi kutetea ubingwa wa mashindano haya tangu kuanzishwa kwake, hii ni mara ya kwanza Morocco wamefanya hivi na wameweka rekodi hii.


TENGENEZA MKWANJA UKIWA NA MERIDIANBET 

Unaweza kuvuna mkwanja mrefu kadiri uwezavyo kupitia mchezo wa Gold n Rocks kwenye  kasino ya mtandaoni ya Meridianbet. Ni rahisi! Vigezo na masharti, kuzingatiwa.

SOMA ZAIDI

15 Komentara

    Hongera yao Najua mwaka Mwingine Tanzania tutashinda tu

    Jibu

    Hongera yao

    Jibu

    Hongereni sana

    Jibu

    Hongera zao

    Jibu

    Congratulations to them

    Jibu

    Ongera kwao

    Jibu

    Pongezi kwao morocco

    Jibu

    Safi Sana Morocco

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Sasa Morocco hawana mpinzani

    Jibu

    Pongezi kwao

    Jibu

    Morocco wapo juu

    Jibu

    habar njema

    Jibu

    Habari nzuri

    Jibu

    Wako vizuri safari hii.

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.