Atletico Madrid inadai ada ya mkopo ya paundi milioni 9.5 na uhamisho wa kumuuza Joao Felix kwa paundi milioni 70.5 ambaye anayelengwa na Manchester United na Chelsea. Tembelea duka la kubashiri uoneshe umwamba wa kubashiri.

 

Joao Felix
Joao Felix

Nyota huyo wa Ureno anatarajiwa kuondoka katika mji mkuu wa Hispania mwezi huu, kwa kukosa kuelewana na Kocha wa Atletico Diego Simeone mara kadhaa.

Vilabu vingi vya Ligi ya Uingereza vimehusishwa na mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 23, lakini United kwa sasa ni miongoni mwa walio mstari wa mbele, kulingana na ripoti ya The Mirror.

Erik ten Hag amekuwa akitafuta kuimarisha safu yake ya ushambuliaji kufuatia kuondoka kwa Cristiano Ronaldo mnamo Desemba, na Joao Felix anabaki kuwa shabaha inayowezekana. Mechi zote Meridianbet zina Odds kubwa, Bashiri Mubashara utimize ndoto yako.

Klabu hiyo ya Hispania sasa imewapa Mashetani Wekundu hadi katikati ya wiki ijayo kuona kama wanaweza kufikia thamani ya mchezaji huyo. Inaaminika United bado wana chaguo la kwanza kwa Joao Felix, lakini watakuwa na saa 48 pekee kufikia ofa zozote kutoka kwa vilabu vingine.

Arsenal imekuwa ikimtaka nyota huyo wa Ureno tangu majira ya joto, na Atletico inaamini kwamba Mendes amekutana na Arsenal kuona kama wana nia ya kumsajili Joao Felix wakati wa dirisha hili.

Huku kukiwa na ripoti kwamba mchezaji mwenza wa zamani wa Felix huko Emirates, Thomas Partey, amekuwa akijaribu kumshawishi kuhamia London kaskazini. Sehemu pekee ya kupata odds kubwa za soka ni Meridianbet.

Wakati huohuo Chelsea, pia imeonyesha nia ya kutaka kumnunua Felix kwa mkopo kutoka Atletico Madrid.

Joao Felix alijiunga na Atletico Madrid kwa ada ya rekodi ya klabu ya paundi milioni 113 mwaka 2019, lakini amepunguzwa hadi kumi pekee msimu huu na aliachwa nje ya kikosi kwenye ushindi wa Jumatano usiku wa Copa Del Rey dhidi ya Oviedo.

Yeye ni mmoja tu kati ya safu kadhaa za ushambuliaji zinazoangaliwa na United, ambao pia wamehusishwa na Memphis Depay, Olivier Giroud, na hivi karibuni Wout Weghorst. Pata odds kubwa za soka hapa.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa