Staa wa klabu ya Ac Milan Zlatan Ibrahimovic amemsihi nyota wa klabu hiyo Rafael Leo kusalia klabuni hapo ili kufanya uwezo wake uwe wa kutisha zaidi.

Nyota huyo ambaye amekua ambaye amekua akihuishwa na vilabu kadhaa barani ulaya baada ya kuonesha ubora mkubwa ndani ya klabu ya Ac Milan haswa msimu uliomalizka na kuifanya klabu hiyo kushinda taji la Serie A baada ya miaka 11.ibrahimovicRafael leao ambaye alikua anaitumikia timu ya taifa ya Ureno kwenye michuano ya kombe la dunia amekua akihusishwa na vilabu kadhaa vikubwa kama Real Madrid, Chelsea,Liverpool na PSG lakini Zlatan Ibrahimovic anaamini Ac Milan ni sehemu sahihi kwa nyota huyo kuendelea kukua kwasasa na kuboresha kiwango chake zaidi.

Gwiji Ibrahimovic amesisitiza kua mazingira ya Ac Milan ni mazingira sahihi kwa mchezaji huyo kwani kuna tofauti kubwa tangu alivyokuja na sasa alivyo ambapo amekua mchezaji hatari zaidi tofauti na alivyokuja.ibrahimovicGwiji huyo aliongeza kwa kusema Rafael Leao ndani ya Milan anapata nafasi ya kukua na kujiamini, pamoja na uhuru kitu ambacho hawezi kukuta kwenye vilabu vingine vikubwa barani ulaya, Lakini anasema kijana huyo pia anaonekana ni mwenye furaha hapa.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa