Osimhen Hela Yake ni Kufuru

Klabu ya Napoli imesema kiwango cha pesa juu ya klabu yeyeote inayomtaka msambuliaji wake Victor Osimhen raia wa kimataifa wa Nigeria na kusema wanahitaji kiasi cha Euro milioni 134.

Klabu ya Napoli imeweka wazi kua klabu yeyote inayomuhitaji mshambuliaji wake Victor Osimhen anahitaji kwenda na kiasi cha Euro milioni 134 mkononi nje ya hapo itakua ngumu kufanya biashara, Hiyo inatokana na ubora ambao yuko nao mshambuliaji huyo.OsimhenMshambuliaji huyo amekua kwenye ubora mkubwa katika ligi kuu ya Italia mpaka sasa akiwa kama kinara wa ufungaji kwenye ligi hiyo, Kutona ana ubora huo anaouonesha mshambuliaji huyo wa kimataifa wa Nigeria inapandisha thamani yake kila siku.

Victor Osimhen atauzwa kwa thamani ya kiwango cha juu cha pesa na klabu ya Napoli lakini hii inawezan kua sio tu sababu ya ubora wa mshambuliaji huyo, Lakini inawezekana ni kutokana na thamani ambayo Napoli walimnunua mchezaji huyo kutokana Lile mwaka 2020.OsimhenKlabu ya Napoli ilimnunua Victor Osimhen kutoka klabu ya Lile inayoshiriki ligi kuu ya Ufaransa kwa ada ya uhamisho wa Euro milioni 80, Hivo ni wazi kutokana na muendelezo wa kiwango cha mshambuliaji huyo inaonekana ni swa kwa klabu hiyo kuhitaji kiasi cha Euro milioni 134.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.