Pogba Kucheza dhidi ya Monza Kesho

Kiungo wa klabu ya Juventus Paul Pogba anatarajia kucheza mchezo wake wa kwanza msimu huu wa kimashindano kesho dhidi ya klabu ya Monza kwenye mchezo wa ligi kuu nchini Italia.

Paul Pogba ambaye alijiunga na klabu ya Juventus akitokea klabu ya Manchester United katika dirisha kubwa la usajili lililopita, Lakini mchezaji huyo hajafanikiw akucheza mchezo hata mmoja wa kimashindano na klabu hiyo tangu ajiunge klabuni hapo kutokana na majeraha yaliyokua yanamuandama.PogbaKiungo huyo ataonekana kesho kwa mara ya kwanza katika mchezo huo wa kesho wa ligi kuu nchini Italia ambapo klabu ya Juventus watakua nyumbani na taarifa hizo zimethibitishwa na kocha wa klabu hiyo Massimiliano Allegri.

Kiungo fundi Paul Pogba amekua akisumbuliwa na majeraha kwa kiasi kikubwa na majeraha tangu ajiunge na klabu hiyo, Kwani amehapona mara moja na kuumia kwa mara nyingine jambo ambalo pia lilimfanya kiungo huyo kukosa michuano ya kombe la dunia na timu ya taifa ya Ufaransa.PogbaKiungo Paul Pogba kesho atarejea dimbani akijumuika na mshambuliaji wa klabu hiyo raia wa Serbia Dusan Vlahovic ambaye ane alikua akisumbuliwa na majeraha na kushindwa kucheza mchezo hata mmoja baada ya michuano ya kombe la dunia. Hivo klabu ya Juventus kesho itafanikiwa kua na nyota wake wawili ambao watakuja kurejesha nguvu kwenye timu hiyo.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.