Sanches Kurudi Manchester United Mwisho wa Msimu 2019-20

Old Trafford inatarajia kumrudisha Mshambuliaji wako Alexis Sanches mwisho wa msimu huu, baada ya Sanches kutumikia mkataba wa muda mrefu huko InterMilan, ni kama masihara iliporipotiwa kua Ole Gunnar Solkjer alidhihakiwa  aliposema Sanches atarudi Manchester kipindi cha kiangazi na kuna ushahidi unaosemwa kua Sances ata fanya majaajabu kwa kuonyesha watu kua Ole hakukosea kumrudisha

AlexisSanchez na OleGunnar

Hata hivyo habari hii ni kua Sanches hana kipindi kizuri huko Inter Milan na ndio hasa sababu ya kurudishwa Manchester Unite.

Maamuzi ya kumchukua Sanches kutoka Arsenal kuja Man United mwezi Januari mwaka 2018 ilikua ni kama kiini macho, na ili shangaza zaidi hasa baada ya Sanches Kuvaa jezi namba 7 katika michezo 45 kwa kipindi chote alichocheza Manchester United na kufunga magoli 5 tu.

Kuumia kwake kifundo cha mguu kimepelekea Sanches kukosa nafasi ya kutumikia kikosi cha kwanza cha timu ya Intermilanhuku taarifa za yeye kurudi Manchester United zikizidi kupamba moto. Old Trafford kwasasa imekua tofauti sana na ile aliyo iacha Sanches kabla ya kukimbilia Inter. Na inafahamika kua Solskjer anatazamia wachezaji wake kufanya vizuri zaidi na motisha walio nayo itakua ime badirika kabisa.

 

 

 

3 Komentara

    Bora arudi tu mana amepotea sana kimchezo

    Jibu

    Tunamsubir kwa hamu

    Jibu

    Tunakusubiri mashabiki wako Alex Sanchez

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.