Nyota wa zamani wa Manchester United, Wyne Roone amesimulia kisa cha mwaka 2006 kwenye michuano ya kombe la Dunia. Rooney amesimulia namna Ronaldo alivyoshadadia ili aweze kutimuliwa uwanjani kwa kadi nyekundu.
Mwaka 2006, Rooney alilimwa kadi nyekundu kwenye mechi kati ya England na Portugal baada ya kumfanyi rafu Ricardo Carvalho kwenye mechi hiyo ya robo fainali.
Baada ya Rooney kubambwa na muamuzi, Ronaldo alimshinikiza muamauzi kuwa mwanatimu mwenzake wa klabu ya Man United alipaswa atimuliwe dimbani kwa kadi nyekundu.

Baada ta Rooney kupata kadi nyekundu anasimulia kuwa Cristiano Ronaldo alimkonyeza alipokuwa benchi na baadhi ya kamera zilimnasa CR7 katika tukio hili. England walitolewa kwenye mikwaju ya penati katika mechi hii.
Rooneya ansema kuwa anajaribu kujiweka kwenye viatu vya Cristiano Ronaldo katika mazingira ya mechi kama ile na anajiona kabisa kile ndiyo kitu ambacho pia angekifanya, kushindikiza kadi nyekundu.
Anasema ikiwa Ronaldo angefanya kama alivyofa
nya yeye, na alistahili kadi nyekundu au kwa namna nyingine pia ingewasaidia kuongeza uwezekano wa kushinda, bila shaka ndiyo kitu sahihi angeweza kufanya.
Baada ya mechi wataalamu hawa walirejea ukaribu wao Man United na kuendelea kufanya kazi nzuri wakiwa pamoja.



isha
Duuh
devotha
kumbe wachezaji wanaletena figisu wakiwa uwanjani