Kocha wa klabu ya Rangers Giovanni van Bronckhorst amesisitiza kuwa mbio za ubingwa wa ligi ya Scotland bado haijaisha licha ya kupoteza leo dhidi ya Celtic na kumpa nafasi ya kuongoza kwa alama sita juu.

Rangers walifanikiwa kupata goli la kuongoza kwenye dakika ya tatu kupitia kwa Ramsey kabla ya Tom Rogic na Cameron Carter-Vickers kuihakikishia Celtic kuweza kukaa kileleni kwa alama sita.

Baada ya mchezo kuisha Giovanni van Bronckhorst alisisitiza kusema “mbio za ubingwa bado hazijaisha, ingiwa leo tumepoteza dhidi ya celtic lakini bado tunanafi, japo kuchukua kwa mara ya pili ni ngumu zaidi kwetu.

“Tulitaka kushinda, tulianza vizuri, lakini unapopoteza mchezo unavujika moyo sana,” aliongezea Giovanni van Bronckhorst.


3500 NI YAKO UKIJIUNGA TU MERIDIANBET!

Una nafasi ya kupata bonasi ya shilingi 3500 kwa ajili ya kuanza safari yako ya kasino ya mtandaoni ya Meridianbet.

Kubeti Poa - Bonasi Kubwa

Jisajili sasa

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa