Rangers Wamnasa Ramsey kwa Mkopo Kutoka Juve

Klabu ya Rangers imefanikiwa kumsajili Aaron Ramsey kutoka Juventus kwa dili ya mkopo mpaka mwisho.

Mchezaji huyo wa miaka 31 alicheza moja kwa kuanza katika Serie A msimu huu na aliambiwa yupo huru kuondoka kwa Miamba hao wa Italia mwezi huu.

Kwa mujibu wa media ya Italia Tuttosport Ramsey hajajumuishwa kwenye mipango ya Allegri na ataondolewa kwenye kikosi cha Ligi ya Mabingwa ikiwa ni hatua ya 16 bora ambayo itaendelea mwezi Februari.

Ramsey anaripotiwa kulipwa kitita cha paundi 400,000 kwa wiki kwenye Uwanja wa Allianz, na hivyo kumfanya kuwa mchezaji wa tatu kwa kuingiza fedha nyingi kwenye klabu hiyo nyuma ya Matthijs de Ligt na Paulo Dybala.

Hata hivyo, Juventus wana nia ya kumwondolea bili yao ya mishahara huku Ramsey akitarajiwa kuzuiwa kwa muda usiojulikana kama hataondoka siku ya mwisho ya usajili.


VUNA MKWANJA NA KENO

Dakika tano pekee zinakutosha kuwa mmoja wa washindi wa mkwanja mrefu ndani ya kasino pendwa ya meridianbettz katika sloti maridhawa ya KENO, moja ya michezo inayoipa thamani dau lako.

tetesi, Tetesi za Soka barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe