Serie A: Ratiba ya Msimu Ujao Imetoka

Wakati ligi mbalimbali zikiendelea na msimu wa 2020/21, nchini Italia ligi ya Serie A itaanza rasmi Septemba 20.

Mabingwa wa Ligi hiyo – Juventus wataanza mchezo wao wa kwanza wakiwa nyumbani kuwakaribisha Sampodoria. Mchezo wa pili kwa kikosi hicho chini ya Pirlo, utawasafirisha kuwafata AS Roma.

Atalanta wataanzia nyumbani dhidi ya Lazio, timu hizi zilimaliza msimu katika nafasi ya 3 na 4. Inter Millan watawafata Benevento. AC Millan watawakaribisha Bologna. Mchezo wa mwisho utawakutanisha Juventus dhidi ya Inter Millan wakati Roma akipambana na Lazio.

Ratiba ya mechi za Serie A 2020/21

Septemba 20 – Benevento vs Inter

Septemba 27 – Inter vs Fiorentina

Oktoba 4 – Lazio vs Inter

Oktoba 18 – Inter vs Milan

Oktoba 25 – Genoa vs Inter

Novemba 1 – Inter vs Parma

Novemba 8 – Atalanta vs Inter

Novemba 22 – Inter vs Torino

Novemba 29 – Sassuolo vs Inter

Disemba 6 – Inter vs Bologna

Disemba 13 – Cagliari vs Inter

Disemba 16 – Inter vs Napoli

Disemba 20 – Inter vs Spezia

Disemba 23 – Hellas Verona vs Inter

Januari 3 – Inter vs Crotone

Januari 6 – Sampdoria vs Inter

Januari10 – Roma vs Inter

Januari 17 – Inter vs Juventus

Januari 24 – Udinese vs Inter

Januari 31 – Inter vs Benevento

Februari 7 – Fiorentina vs Inter

Februari 14 – Inter vs Lazio

Februari 21 – Milan vs Inter

Februari 28 – Inter vs Genoa

Machi 3 – Parma vs Inter

Machi 7 – Inter vs Atalanta

Machi 14 – Torino vs Inter

Machi 21 – Inter vs Sassuolo

Aprili 3 – Bologna vs Inter

Aprili 11 – Inter vs Cagliari

Aprili 18 – Napoli vs Inter

Aprili 21 – Spezia vs Inter

Aprili 25 – Inter vs Hellas Verona

Mei 2 – Crotone vs Inter

Mei 9 – Inter vs Sampdoria

Mei 12 – Inter vs Roma

Mei 16 – Juventus vs Inter

Je, nani atakuwa mbabe wa Serie A msimu huu?


 

SHINDA NA HI LO

Sasa hii ni rahisi zaidi kupata USHINDI! Unatabiri karata ipi ipo chini au juu, kisha unakusanya mkwanja wako.

Cheza Sasa.

46 Komentara

    Ratiba imekaa pow sana hii#Meridianbettz

    Jibu

    Ratiba iko fresh sana

    Jibu

    Makala bomba

    Jibu

    Ratiba imetulia

    Jibu

    Imeeleweka ratiba

    Jibu

    Ratiba ipo poaaa

    Jibu

    safi sana meridianbet kwa kutujuza ratiba

    Jibu

    Ahsanteni meridian bet kwa ratiba njema hakika ninyi hampingiki.

    Jibu

    Ratiba ya kibabe kazi kwetu wapenda soka

    Jibu

    Imeeleweka…

    Jibu

    Safi sana meridian kwa ratiba

    Jibu

    Nimeikubali sana

    Jibu

    Makala bomba

    Jibu

    Miaka nyumba September 20 ilikuwa tayari ligi ina mwezi mmoja tangu kuanza#meridianbettz

    Jibu

    Ratiba inanipa pesa

    Jibu

    ratiba imekaa poa sana

    Jibu

    Ratiba ipo poa sana mechi zote zipo poa

    Jibu

    Ratiba iko poa 👍
    @meridianbettz

    Jibu

    Wakati wa kushika mpunga kila Leo ushawadia safi Sana meridianbet kwa kututupia ratiba.

    Jibu

    Ratiba iko vizuri

    Jibu

    Ratib nzr hii

    Jibu

    Ratiba imetulia sana tu

    Jibu

    Ratiba IPO vizuri

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Mbona ni ratiba ya Inter tu

    Jibu

    Ratiba imekaa poa hiyo

    Jibu

    Imekaa poa ratiba

    Jibu

    Tunasubir kuanz t ligi

    Jibu

    Ratiba imekaa Safi sana

    Jibu

    Asanten meridian kwa taarifa

    Jibu

    Bora ratiba ilvyotoka maana nlkua nmefulia kinyama sasa nna uhakika wa kupata mkwanja

    Jibu

    Ratiba imekaa fresh

    Jibu

    Imetulia

    Jibu

    Ratiba imeeleweka

    Jibu

    Wakati wa kushika mpunga kila Leo ushawadia safi Sana meridianbet kwa kututupia ratiba

    Jibu

    Asante kwa ratiba

    Jibu

    Mambo yamepamba motooo!!!

    Jibu

    Huu ni mda wa kutengeneza pesa na meridian bet

    Jibu

    Ratiba imekaa pow sana

    Jibu

    Ratiba imekaa vizuri

    Jibu

    safi

    Jibu

    habar njema

    Jibu

    Ratiba iko bomba.

    Jibu

    Mechi ya Inter vs Napoli itakuwa bomba sana

    Jibu

    Safi sanaaa

    Jibu

    Imekaa poa sana

    Jibu

Acha ujumbe