Wakala wa Gonzalo Higuain, Nicolas ambaye pia ni kaka yake wa nyota huyu amethibitisha fowadi huyo wa Argentina ataondoka Juventus na hatasalia nchini Italia.
Fowadi huyo wa zamani wa Napoli, ambaye amechukua Scudetti mara tatu na Coppa Italia mara tatu kwa mda aliokuwepo huko Italia, atahama msimu huu wa joto.
Kocha wa Juventus Andrea Pirlo alimwambia mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 32 hakuwa na mustakabali wowote huko Turin na wakala wake Nicolas amebainisha kuwa ana ofa kadhaa.

“Tulithamini uaminifu wa Pirlo, alimwambia Gonzalo mawazo yake. Hitokei mara kwa mara, na ilikuwa muhimu.” -Nicola Higuain aliiambia Tuttosport.
“Bado tunazungumzia mshambuliaji aliyefunga mabao 350 katika miaka ya hivi karibuni.Kuifikia hesabu hiyo, inachukua miaka 10. Halafu kwa bahati mbaya, tunasahau haraka.
“Tuko kwenye soka na tunajua kwamba mambo haya yanaweza kutokea.”
Ndugu huyu na wakala wake Gonzalo Higuain anadai mshambuliaji huyo wa zamani wa River Plate hatahamia Boca Juniors na alithibitisha kuwa hataendelea kuwepo Serie A.
“[Kuna ofa] kutoka Ufaransa, Uingereza, Uhispania, Uchina na USA. Ofa nyingi, lakini hakuna inayofanya mguu wako utetemeke.
Kwa mujibu wa Nicolas, ni kuwa wanajaribu kufanya upembuzi na tathimini kuona ni namna gani wanaweza kukamilisha mpango wake wa uhamisho. Lakini kwa sasa kinachoweza kuwekwa bayana ni kuwa hana mpango wa kusalia Serie A.
SHINDA NA HI LO
Sasa hii ni rahisi zaidi kupata USHINDI! Unatabiri karata ipi ipo chini au juu, kisha unakusanya mkwanja wako.


Sylvester
Sasa akamalizie soka Marekani sababu umri ushaenda kwa uingereza na ufaransa soka ni la mchaka mchaka
Povel
Higuain magolj yatosha ITALIA kila la kheri huko haendapo
Nasra
Mpango wake si mbaya
Shafii
Higuine umri ushaenda na kiwango kimeshuka ni wakati wa kurudisha mpira kwa kipa.
Tatu
Higuine amoena bora abadilishe upepo
magdalena
umri naye ushamtupa mkono akatulie tu
Dorophina
Umri umeenda atulie tu haangalie maisha sehemu nyingine
Hidaya
Kazi na umri akapumzike tu
Mwanahamisi
Umri umeenda bora apumzike
Khadija
Mashabiki tutamkumbuka sana
Mwajumah
Acha aende tu kwan umri ushamtupa mkono akapumzike tu#Meridianbettz
Caroline
Ila ana mchango mkubwa sana
Rehema Dickson
Mpango mzuri sana
Fatina mfigi
Kazi na umri
Janeflora malisa
Akapmzk tu umr nao umemtupa
aisha
Umri wake umeshaenda afanye mpango asitaaafu
Saupha mohamed
Umri umeenda apumzike tu
Sabrina
Kila la kheri broh
Fatuma kasomo
safi bora apumzike
Saupha mohamed
Apumzike umrii umemtupa sana
Frank P
Yas ni finisher mzuri ila umri nao ndio shida kwa soko la wachezaji la sasa plus mahitaji ya team kwa sasa
Genia Sikaluzwe
Habari njema hizo
Issa
Umri umemtupa mkono pia ni vizuri akasaka maisha pengine
Amiri Kayera
Safi kaz kazi
Revina
Kazi na umri acha akamalizie uzee wake kw8ngine
Asia Abdy
Umri umeenda
Hope mwaikuka
Vuovyote uonavyo inakufaa sawa tu
Sadick
Ilidaiwa Baada ya Juventus angeelekea Ligi ya Marekani ambayo imekuwa maarufu kusajiri wanaomaliza soka na kusitaafu#meridianbettz
Rehema
Bonge la makala
Edgar
Umri umeenda sana
Theckla
Kazi na umri
David Pere
Kuna ofa] kutoka Ufaransa, Uingereza, Uhispania, Uchina na USA. Ofa nyingi, lakini hakuna inayofanya mguu wake utetemeke.
Rose kapinga
Pumzikaa tuu umri sio rafiki!!!
Tatu
Higuine amoena bora abadilishe upepo
Gabriel
Higuine umri ushaenda na kiwango kimeshuka ni wakati wa kurudisha mpira kwa kipa kwan inabid apumzike tuu umri sio rafik
Neema
Kila na kheri
felister
mpango wake si mbaya
Ernest
Hili Jina la Gonzalo Higuain enzi zake ilikuwa balaa najuwa umri umemtupa mkono lakini wapenzi wa soka tunajuwa balaa la huyu jamaa
lombo
asante meridianbet kwa habar moto moto
Lydia Emmanuel Magoti
Mriwake ushaenda nakiwango chake kimeshuka angalie ustarabu mwingine sasa
Furahav
Uwezo umeshuka aende tu.
Fatuma kasomo
Safi kapumzike
Theonestina
Duuuh
Ester jackson
Umri mzee mda sasa umeenda fikiria kustaafu mpira waachie vijana
Samiah
Umri na kazi
warda
Bora Kupunzika tu