kocha wa klabu ya Real Madrid Carlo Ancelotti amemsifu kiungo wa klabu ya Borussia Dortmund na timu ya taifa ya Uingereza Jude Bellingaham.

Kiungo Jude Bellingham alicheza kwa kiwango kikubwa kwenye michuano ya kombe la dunia mwaka 2022 huku akifankiwa kuanza kwenye michezo yote mitano ambayo Uingereza ilishiriki na jufanikiwa kufunga bao mja kutengeneza bao moja.ancelottiKocha Ancelotti amekubali uwezo wa kiungo huyo alipokua anazungumza na waandishi wa habari na kuulizwa kuhusu kiungo huyo na kusema “Bellingham amethibitisha kua kiungo bora kwenye michuano ya kombe la dunia kama wengine, Kuna vijana wengi wenye ubora kama Enzo Fernandez, Gavi, na Pedri na Bellingham ni mmoja kati yao”

Kocha Carlo Ancelotti aliendelea kwa kueleza licha ya ubora wa anauonesha kiungo huyo lakini yeye ana viubgo wake wenye ubora pia akiwataja Tchouameni,Camavinga, pamoja na Federico Valverde ambao ni vijana wadogo ambao wanaitengeneza safu ya kiungo ya klabu hiyo siku za mbeleni.Klabu ya Real Madrid inaelezwa inaongoza kwenye mbio za kumuwania kiungo JuancelottiKlabu ya Real Madrid inaelezwa inaongoza kwenye mbio za kumuwania kiungo Jude Bellingham raia wa kimataifa wa Uingereza mwenye umri wa miaka 19 tu, Lakini pia kiungo huyo anawindwa na vilabu kadhaa vikubwa ulaya kama Liverpool na klabu ya PSG.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa