Klabu ya Barcelona imesitisha kufanya mazoezi leo Jumanne asubuhi baada ya wafanyakazi wawili kukutwa na maambukizi ya COVID19.
Kikosi cha Ronald Koeman kilikuwa kikijiandaa na mchezo wa LaLiga dhidi ya Athletic Bilbao kesho usiku katika dimba la Sam Mames.
Kutokana na matokeo ya vipimo, klabu hiyo iliizitaarifu mamlaka za michezo na afya mjini humo (Catalunya).
Taarifa rasmi kutoka Barca imeripoti kuwa, “kikosi kizima kitafanyiwa vipimo vya PCR jumanne asubuhi kulingana na utaratibu wa LaLiga.
“Kwa sababu hiyo, mazoezi yaliyopangwa Jumanne asubuhi yameghairishwa. Muda mpya wa kufanya mazoezi sambamba na kufanya mahojiano na waandishi wa habari utatangazwa.”
Ndio, kwetu Mteja ni mfalme. Jiunge sasa na familia ya Meridianbet bila malipo yeyote na sisi tutakuzawadia bonasi ya shilingi 3,500 kama sehemu ya kukukaribisha kwenye familia hii BURE!!!. Unasubiri nini??



Angelina
Hii corona ishakuwa sugu sasa
Hopemwaikuka
Hili janga kwann lakin
Chiku
Ingepita mambo ya kaenda sawa
Rahmal
Uhu ugonjwa mbona unatutesa ivi jaman
Dorophina
Corona ishakuwa ni ugonjwa wa kukaa nao kama malaria tu cha msingi tuzingatie masharti ya wahudumu wa afya
Janeflora malisa
C powa mungu endelea kutusaidia
Caroline
Mungu tuondolee corona
Shakila mrope
Mungu atulinde tu na colona
Adelta
Ni taarifa ngumu kwa Ronald Koeman lakini inabidi wajikinge na janga la virus vya corona. Pole sana kwa mashabiki wa Barca
Mwanahamisi
Corona sio poa
Sarah
Huu ugonjwa mbaya sana
Ernest Kimeru
Hali bado tete Duniani Corona inazidi kupamba moto
Magdalena
Duh balaa sana
Lydia Emmanuel Magoti
Duu Corona sio poa
Issa
Covid inarudisha mambo nyuma
Khadija
Huu ugonjwa noma sana
Rehema
Corona sio fresh
Saupha mohamed
Dhuuuu atali
felister
huu ugonjwa ss unazidi kua tishio
warda
Covid sio poa
Sabrina
Duuuh hatari