Wakati Jonas Kaufmann na David Garett wanamalizia ubeti wa mwisho wa wimbo wa UEFA champions league, mji mzima wa Munich ulikuwa umechemka, Allianz Arena palikuwa pamewaka moto, wajerumani hawasikii neno lingine zaidi ya ‘Champions’ katika ule wimbo wa UEFA ulioandikwa na muingereza Tony Britten.

Hawakufika uwanjani kutazama mechi, bali kulitazama taji la tano la Ulaya likibaki Munich. Walikumbuka walivopoteza kimasihara mwaka 2010 mbele ya Inter Milan ya Jose Mourinho. Sasa ilikuwa ni zamu yao.
Wakati huo pale London mitaa ya Fulham, lililopo dimba la Stamford Bridge, mashabiki 41,000 wa Chelsea walikuwa wameujaza uwanja wao kama kawaida. Licha ya mchezo kuchezwa Ujerumani, wao waliamini wachezaji wao watawasikia kutoka nyumbani.
Wengi wao waliingia uwanjani wakiwa na magazeti ya ‘the beautiful game’ mikononi mwao. Gazeti hilo la siku hiyo ya tarehe 19 May 2012 liliwakumbusha mashabiki wa Chelsea namna Uingereza ilivoshinda vita ya pili ya dunia mbele ya Ujerumani. Hivo leo pia, walikuwa na kila sababu ya kushinda.
Itaendelea……


David pere
Ilikuwa ni fanal ya waingereza na wajeruman maana ilikuwa ya kuvutia sana
Samiah
Fanal hii niya wajerumani na waingereza
Sadick
Bonge la makala, nasubiri mwendelezo #meridianbettz
Salma
Ni hadithi ya kusisimua wacha nisubili itavyoendelea
Hope mwaikuka
Dah sa itakuaje?
Rehema
Duu! Bonge la histori wacha nisubiri nione mwisho wake
Agness
Ni stori nzur tusubiri mwisho wake
Devotha
Historia tunasubiri mwendelezo wake
Neema hassan
Taarifa nzuri nasubili muendelezo wake..
Antony Luseno
Katika fainali hiyo Drogba alicheza katika kiwango cha juu sana
aisha
Makala safi fanyeni mwendelo mapema
Adelta
Asante meridianbet kwa makala nzuri
Rehema Dickson
Bonge la histori wacha nisubiri nione mwisho
Tahiya
Makala inasisimua ila kwanini mwandishi ajafikia mwisho hakika ilikuwa beautiful game
Ester mmakasa
Asante kwa makala tamu na ya kueleweka meridianbet mnafanya vizuri sana.
Theckla
Ni historia nzuri na Asante kwa kutukumbusha
felister
makala nzuri
Mwanaidi
Ilikuwa final ya kusisimua sana
Juliana
Ngoja nisubiri nione
Warda
Nilikiwepo hapa #Meridianbettz
Elika
Hiyo ndio kumbukizi ya kweli
Mariam mtandama
Habari mjema
Frank Patrick
Mwandishi umeanza kutuletea za Kikorea sasa
Asha
Gud news👍👍
Emmy cleopa
Ahsante kwa taarifa
Lombo
Nmekumbuka mbali san iyo gem ilichangamka san
Gabriel
Nice update # meridianbettz
Lydia Emmanuel Magoti
Nimakara nzuri
Amani
Allianz Arena palikuwa pamewaka moto
Caroline
Asante kwa taarifa meridian
Furahav
Sitosahau hiyo fainali,mana namkumbuka mtu anayeitwa milito aliyetupia goli mbili.
Hamidu
Nakumbuka drogba alikuwa nyota wa mchezo. Ilikiwa fainal ya kishujaa
mathayo sonje
hii ilkua ni mechi kali sana, maana ilivokua na matukio ilisisimua sana
mwakalosi
hii mechi wajerumani hawawezi kumsahau didier drogba kwa alivyowafanya
Mwanahamisi
Ni historia nzuri sana
Povel
Makala nzuri sana inatukumbusha mbal sana wapenda soka na burudani
Shafii
Hatuwezi kuisahau hiyo siku
Ernest
Hii makala imetulia sana, tunasubiri muendelezo
dorophina
Mechi ilikuwa ya kibabe
Magdalena
Iyo fainali ulikuwa poa Sana tunausubiri muendelezo wake
Ester jackson
Hii mechi ilikuwa hatari sana drogba alikuwa anacheza katika kiwango kizuri sana
Neema juma
Imebaki storia. Mambo mazuri tunayakumbuka
Kenani
Dunia ilisimama kuangalia huu mchuano ilikua noma sana
Genia Sikaluzwe
Mechi ulikuwa kali sana