Novatus Dismas Kukipia Leo Dhidi ya FC Porto UCL

NOVATUS DISMAS

Novatus Dismas: Walianza watanzania wachache sana kutamba kwenye soka la ushindani tena nje ya ardhi ya Tanzania. Ni nani asiyefahamu mapambano ya mtoto wa uswahilini mitaa ya Mbagala Mbwana Ali Samatta, hadi kufikia Uingereza na kuifunga Liverpool ya moto chini ya Jurgen Klopp tena kwenye UCL na baadaye kukipiga Ligi Bora duniani EPL.

Harakati hizo zinaendelezwa na Chuga Boy aliyekataa kuwa Jobless mitaa ya Ngarenaro, Unga Limited, Majengo, na Matejoo.

Huyo sio mwingine ni Novatus Dismas Miroshi ambaye anakipiga kwenye ardhi ya Ukraine pale FC Shaktar Donetsk ambapo leo watakipiga na FC Porto klabu ya utotoni ya staa wa dunia Cristiano Ronaldo. Mchezo huu wa Uefa Champions League umepewa odds kubwa Meridianbet, gusa hapa kujisajili ili ucheze.

Historia inakwenda kuandikwa tena kwa kijana mwingine wa kitanzania Novatus Dismas ambaye atakuwa uwanjani usiku wa leo huko nchini Ujerumani, mchezo huu una odds kubwa pale Meridianbet ambapo FC Shaktar amepewa odds kubwa ya 4.60 kushinda mbele ya FC Porto mweye odds kubwa ya 1.71 huku sare ikiwa na 3.87 unaenda na nani kwenye Jamvi lako.

NOVATUS DISMAS

Historia Fupi ya Novatus

Kutoka mitaa Fulani ya uswahilini mtoto wa mtaa huko Arusha Novatus uzao wake ulikuwa huko, akalazimika kuzikataa harakati za mtaa na kuchagua kupambani ugali wake kwenye njia ya soka.

Novatus Miroshi Dismas alisafiri mpaka Dar Es Salaam pale kwenye viunga vya Bakhresa tajiri wa maokoto kama ilivyo kwa Meridianbet matajiri wa odds kubwa na kasino ya mtandaoni, machaguo kibao na michezo mingi ya sloti.

Alicheza kwa muda wa mwaka akatolewa kwa mkopo kwenda Biashara Utd ya mkoani Mara kabla ya kurudi tena Azam FC, hapo ndipo nyota ya kijana huyu wa kitanzania ilianza kung’aa kwa kuonekana na vilabu vingi vya Ulaya kama vile Maccabi Tel Aviv, Beitar Tel Aviv kisha Zulte Waregem, na sasa FC Shaktar Donetsk.

Novatus Dismas ana msaada mkubwa kwenye timu ya taifa ambapo ni mchezaji tegemezi kwa sasa anayeweza kucheza nafasi tofauti ndani ya uwanja, kama vile beki wa pembeni, beki wa tatu, winga, na kiungo wa kati.

 

NB: Ili kuweza kubashiri mechi hizi zenye odds kubwa na machaguo rahisi kabisa kutiki jamvi lako, unapaswa kujisajili Meridianbet kwa kugusa hapa.

Acha ujumbe