Kocha mkuu wa Villarreal Unai Emery amewamwagia sifa Liverpool kwa kusema watachuana na timu bora watakapokuwa wakitafuta nafasi ya kucheza fainali ya Ligi ya Mabingwa siku ya Jumatano.

Villarreal iliwatoa Juventus na Bayern Munich kufika hatua ya nusu ya Ligi ya Mabingwa ambapo watasafiri mpaka Anfield kurusha karata yao ya kwanza siku ya Jumatano kabla ya mchezo wa marudiano wiki inayokuja.

“Tunawakabili wapinzani wakubwa kuliko waliyopita, sababu ya kushangaza haipo huko wao ndiyo wanaopewa nafasi kubwa ya kutwaa taji.

“Wapo katika ubora wao, nakumbuka uzoefu wangu dhidi ya Liverpool nilipokuwa Arsenal naona kuna kitu kimeongezeka kwa Liverpool kwa tutajaribu kuifunga timu bora tutahitaji kuonesha ubora wetu.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa