Geita wametwaa ubingwa huo baada ya kuifunga Mbeya kwanza FC goli 1 Kwa 0, goli ambalo limepatikana baada ya muda wa nyongeza 90+30 yani dakika 120.
Mbali na Geita Gold FC kuwa bingwa pia Kocha wao Fred Felix Minziro ametangazwa kuwa Kocha bora wa Ligi Daraja la Kwanza 2020-21.
Mchezaji Bora wa Ligi Daraja la Kwanza msimu huu wa 2020-21 ni Geofrey Julius utoka Geita Gold FC. Golikipa bora wa mashindano ya Ligi daraja la kwanza pi akitokea Geita Gold FC ambaye ni John Mwanda .
Mbali ya tuzo hizo pia imetolewa tuzo ya Mfungaji bora ambayo imekwenda Kwa William Mwampangama kutoka Mbeya Kwanza FC, William alimaliza ligi akiwa na magoli 13.
Mwisho ni tuzo ya Timu yenye nidhamu zaidi,tuzo hii imekwenda Kwa timu ya Ken Gold Kutoka Mbeya.
MAANA KAMILI YA USHINDI KATIKA KASINO ZA MERIDIANBETI NI PAMOJA NA MCHEZO WA PANDA PANDA.
Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu. Cheza sasa Panda Panda na uwe moja ya washindi na Mabingwa.
Pongezi Kwao
Pongezi kwake
Hongera yao
Karibun vpl