Historia ya soka inavutia sana! Umeshawahi kuwaza kuhusu namna soka la Uingereza lilivyoanza kupeta taratibu kabla kabisa ya kuanza kubamba kama ambavyo limeshika hatamu katika kizazi hiki?
Rekodi zinaonesha mechi za soka zimeanza kuchezwa kitambo sana, kumbukumbu inaonesha miaka ya 1170. Kuna mechi maarufu ilichezwa kati ya wanajeshi wa Ujerumani na Uingereza mwaka 1914, lakini wachana na hii. Twende kwenye soka la kulipwa.
Baaasi! kama wewe ni mpenzi wa soka, na michezo bila shaka unaweza kuwa unafahamu namna soka la Uingereza linavyochukuliwa kuwa kipimo cha mafanikio ya mastaa wengi wa soka Ulinwenguni.
Ligi ya Uingereza ni ligi iliyofanikiwa zaidi ya soka Ulimwenguni, wachezaji wakipita hapa hujihisi amani na kujiona wamefanikiwa katika soka lao la kulipwa. Umewahi kujiuliza zipi mechi zake za awali kabisa?
Mechi za kwanza kwenye Historia ya Soka la Uingereza – Football League
Kwasa sasa hii na maarufu kama English Football League (EFL). Kuna ubishani juu ya mechi za awali za Ligi (Football League) ambayo ilianzishwa mapema miaka ya 1888, na inatajwa kutokuwa na mfumo rasmi.
Lakini tukitazama msimu wa kwanza wa Football League, basi tunarudi miaka ya 1880. Rekodi inaonesha mechi ya kwanza kabisa ya Ligi ilichezwa Septemba 8, 1888.
Ligi iliyoanzishwa ilihusisha timu 10 ambazo zilishiriki kuchuana dhidi ya mwenzake. Mechi hizi hazikuwa na mfumo rasmi wa ratiba zaidi ya kutumia saa tisa alasiri kama mda wa kuongoza mechi zote zilizochezwa.
Watafiti wa masuala ya soka Mark Metcalf na Robert Boyling, wao walihangaika kutafuta nani walifunga magoli katika mechi hizi. Lakini rekodi imebaki kuonesha kuwa mlinzi wa Aston Villa bwana Gershom Cox ndiye alifunga goli la kwanza la Football League kwa kujifunga dakika ya 30 mchezoni.
Ujio wa Ligi Kuu Uingereza (EPL) katika mandeleo ya Soka la Uingereza miaka ya 1990.
Inaendelea Hapa
Drops and Wins!
Umeijua hii? Ni promosheni kabambe ya ushindi kwenye Casino ya mtandaoni ya Meridianbet! Unaweza kushinda hadi Euro 2,000,000 leo.


Amiri Kayera
Habar nzur
Povel
Duh noma sana hiiiii thnks meridian kwa kuchimbulia mambo ya kale thnks kwa update
Revina
Hii habari utaipatapata Meridian tu hata kama hupendi soka kwa meridian utapenda tu ,wanakujuza mpaka chanzo cha mpira
Theonestina
Asanteni meridianbet kwa taarifa
Sabrina
Duuh nouma sana
Janeflora malisa
Nice
David Pere
Duh noma sana hiiiii thnks meridian kwa kuchimbulia mambo ya kale thnks kwa update maana wengine tuliokuwa hatjui
Fatuma kasomo
Habari nzuri
Mwanahamisi
Asante kwa taarifa
warda
Safi sana#Meridianbettz
Khadija
Asante kwa taarifa
Ernest
Asante kwa uhondo kamili wa soka la uingereza
Ester jackson
Asante kwa nakala mana sikujua kama kulikuwa na mechi ya kwanza kabisa kucheza mpaka tarehe yake kumbukumbu nzuri
Sauda
Du! Hatari sana
Caroline
Asante meridianbet Kwa taarifa
Nasra
Asante meridianbet kwa taarifa
Mwajumah
Asante kwa makala
Dorophina
Nilikuwa sijui kabisa hii kitu asante meridian kwa taarifa
felister
historia ya soka inavutia sana
Adelta
Huu Ni uhondo zaidi kwa soka la uingereza@meridianbettz
Zeiyana
Asante kwa historia
Magdalena
ahsante kwa makala nzuri
Fatina mfingi
Nimeelewa
Asia Abdy
Asanten meridiantz kwa kutujuza
Samira
Uhondo usioisha👍
Sadick
Uingereza ndio Mama wa Soka duniani laini timu yao ya Taifa haipata mafanikio ya kuridhisha sana tangu mwaka 1966 iliposhinda kombe la dunia#meridianbettz
Gabriel
Historia nzur sana 👍 nimeipenda
Hope mwaikuka
Nimeielewa sana hii habar
Furahav
Makala nzuri.
Issa
Historia safi
Devotha
Habari nzuri
Shafii
Gud news
Omary lukumbi
Good news
aisha
Habari njema hii