Mchezaji wa klabu ya Bayern Leverkusen Hudson Udoi inayoshiriki ligi kuu nchini Ujerumani ambapo yupo klabu hiyo kwa mkopo akitokea klabu ya Chelsea.

hudson udoiHudson Udoi amefunguka kuhusu suala lake la kuweza kurejea katika klabu ya Chelsea ndani ya mwezi Januari wakati mchezaji huyo ambaye ilipaswa kua mkpo wa msimu mzima ila inaonekana kama klabu hiyo inataka kumrudisha klabuni hapo.

Mchezaji huyo anaonekana kucheza vizuri katika klabu hiyo ya nchini Ujerumani hivo kuwavutia klabu yake ya Chelsea pia kutokana na wachezaji wanaocheza nafasi za pembeni kama Hakim Ziyech na Christian Pulisic wanaonekana kutokua na ubora unaohitajika.

Hudson Udoi ameeleza alipoulizwa kuhusu kuhitajika kurudi Chelsea mwezi Januari “Hatujui nini kitatokea mpaka Januari, Au kutoka sasa mpaka mwisho wa msimu, Tunasubiri tuone nini kitatokeka”Alisema mchezaji huyo.

hudson udoiKlabu ya soka ya Chelsea inaelezwa ipo kwenye mkakati wa kumrudisha mchezaji huyo baada ya kuonesha kiwango kizuri katika klabu ya Bayern Leverkusen.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa