Inter Milan wameripotiwa kuwa wapo katika maandalizi ya kukamilisha dili mpya la €5m kwa Lautaro Martinez.
Nyota huyu mwenye miaka 22 alikuwa akihusishwa zaidi na kuhamia Barcelona katika msimu huu wa joto. Lakini kwa mujibu kwa Gazetta dello Sport, wanafanya maandalizi ya kukamilisha mazungumzo ya ofa ya mkataba mpya.
Kwa mujibu wa chapisho hilo, nyota huyu anatarajia kupata dili la €5m ambalo litamuongezea mshahara wake mara mbili zaidi ya mshahara wake wa sasa.
Lautaro alisaini mkataba wake hadi mwaka 2023 alipofika klabuni hapo Julai 2018. Masharti kamili na tarehe ya dili kukamilika bado havijawekwa wazi. Lakini inatarajiwa dili hili litakamilika wiki ijayo, kwa mujibu wa ripoti.
Barcelona bado wanatajwa kuwa wataendelea kufukuzia saini yake, wao wakitajwa kuwa walikuwa tayari kutoa €10m.


Povel
Gud update
neema hassan
Asante kwa makala#meridianbettz
Issa
Inter wamefanya hivyo ili kumshawish azidi kubaki sababu kuna vilabu kama barcelona ilikua inamhitaj sana
Omary lukumbi
Inter Milan watakua wamefanya vzr sana kumbakisha mchezaj hyu ni fundi na ndio rada ya Barcelona iliko ikiwa harakati ya kukamilisha kikosi kiwe na makali msimu ujao
Theckla
Watakuwa wamefanya Jambo jema sana
Theonestina
Inter milan wamefanya Jambo zuri sana.
Njiku
Wamependa kazi yake ndio maana wameongeza mkataba kwake
Gabriel
Habar njema sana 👍
Shafii
Kama kazi yake katika club ya inter inawafurahisha wana inter ni jambo zuri kwa mchezaji kuongeza jitihada ya kupambana kwenye club hiyo.
Furahav
Musimuachie kijana yuko vizuri.
Edgar
Iko vzr
Franky
Habar njema sana kwa club ya inter.
Saupha mohamed
Safi sana inter itazidi kuimalika
Hope mwaikuka
Vzur
Neema juma
Safi sana
Rehema
Hii ni habari njema
Fatuma kasomo
Gud news
Caroline
Hongera yake
warda
Anavyopendwa Mpaka raha#Meridianbettz
Mwanahamisi
Gud news
Adelta
Habari njema sana kwetu
Sisi mashabiki wa meridianbet
Johnmary joel
Viongozi wake amefanya vizuri kumuongezea mshahara itampanguvu ya kufanya vizuri zaidi#meridianbett
Magdalena
Habari njema sana
Dorophina
Wamefanya Jambo la maana kumbakiza kijana maana anamchango kwenye timu ndiomaana ht Barca nao wanamuwinda
David Pere
Ni Jambo zuri ili aendelee kukipiga kwao
Tatu
Safi sana
felister
siku zote mti wenye matunda ndo unaopigwa mawe
isha
Wamefanya jambo la maana
Genia Sikaluzwe
Ni habari njema
Samira
Hongera sana anastahili kwa kujituma kwake
Evaluziga
Msimuache kijana Yuko vizuri
Salma
Good
Khadija
Watakuwa wamefanya jambo zuri sana#meridianbettz
mwajuma
Safi sana#Meridianbettz
Flomena
Barcelona bado wanatajwa kuwa wataendelea kufukuzia saini yake, wao wakitajwa kuwa walikuwa tayari kutoa €10m.
devotha
Good update
Samiah
Yuko vzr msimuache kijana
Ernest
Inter wanatumia mbinu za kivita kupiga mkwanja wa kutosha kutoka kwa Lautaro Martinez
Zeiyana
Anastahili mchango wake kwenye timu ni mkubwa.