AC Milan imefikia makubaliano na Ralf Rangnick kuwa kocha wao mpya wa klabu kwa msimu wa 2020-21. Mjerumani huyo atachukua nafasi ya Stefano Pioli, ambaye amekuwa akisimamia kikosi cha Milan tangu mwezi Oktoba mwaka jana.

Rangnick mwenye umri wa miaka 62 amekubali kuwa kocha mpya lakini pia atafanya majadiliano na uongozi wa Milan ili kuchanganya jukumu hilo na la mkurugenzi wa michezo, nafasi ambayo kwa sasa inashikiliwa na Paolo Maldini.
Rangnick ametambulika zaidi akiwa kocha wa zamani wa Hoffenheim na RB Leipzig huko Ujerumani na pia amewahi kuwa mkurugenzi wa michezo wa Leipzig na Red Bull Salzburg.
Ingawa kocha wa sasa wa Milan, Pioli amefanya maboresha makubwa kwa kupata matokeo mazuri katika wiki za hivi karibuni, bado klabu inashika nafasi ya saba, alama 29 nyuma ya vinara wa Ligi Juventus.


Povel
Habar njema kwa mashabik wa milan
Amiri Kayera
Kocha mzur sana uyu itakua bonge la deal kumpata
neema hassan
Kocha mzuri anastahili
Issa
Kocha mzuri ila aahakikishe anaifikisha a.c. milan pazuri msimu ujao
Omary lukumbi
Ngoja tuone nn kitakacho endelea maisha mapya akiwa kocha wa ac Milan
Theckla
Asante kwa taarifa
Theonestina
Safi.
Njiku
Ipo poa hii kwa mashabiki wa milan
Shafii
Ni jambo zuri Sana ishu ni kwa wana rangnick kuona mafanikio kutoka kwa kocha huyo.
Furahav
Hongera.
Franky
Safi sanaaa#metidianbet
Saupha mohamed
Safi sana
Edgar
Sawa nakubali
Gabriel
Machi 18, 2011, Schalke 04 klabu kilitangaza tu Hoffenheim darasa la Lenny badala ya Felix Magath kuwa kocha mkuu wa Schalke 04. Hii ni mara ya pili Lenny kocha wa timu. Kuongoza Schalke 04 katika Ligi ya Mabingwa mechi ya kwanza 5-2 ushindi juu ya Inter Milan, mguu pili 2-1, Inter Milan kufikiwa fainali ya Ligi Mabingwa awamu nje nusu fainali, lakini kwa bahati mbaya katika kushindwa nusu fainali kwa Manchester United. Septemba 22, 2011, Schalke 04 klabu ghafla alitangaza kujiuzulu kwake kwa sababu za kiafya Lenny, E. Cohen, msaidizi timu itakuwa muda katika malipo ya timu, Lenny alisema hivi: “Baada ya mashauriano ya muda mrefu, Najisikia kama mimi haja ya kupumzika kwa muda fulani, hii ni maamuzi magumu sana, lakini sasa mimi ni upungufu mkubwa wa nguvu zao, imekuwa hawawezi kuendelea kusaidia timu kufanikiwa. baada ya mimi kuondoka, timu bado kubariki salio ya msimu kwa mafanikio. “[2] Lenny tena kuzidiwa kujiuzulu kutoka ofisi yake tu zaidi ya miezi sita.
Kufundisha resume
Wakati Team
2011.03.18-2011.09.22 Schalke 04 kocha
2006.07.01-2011.01.01 Hoffenheim kocha
2004.09.28-2005.12.12 Schalke 04 kocha
2001.07.01-2004.03.07 Hannover 96 kocha
1999.05.03-2001.02.23 Stuttgart kocha
1997.01.01-1999.03.16 Ulm kocha
1995.07.01-1996.12.31 Reutlingen kocha
1985.07.01-1987.06.30 Stuttgart mbili kocha [3]
Hamidu
Habari njema kwa timu nzima ya ac milan
Hope mwaikuka
Axante kwa habar
Neema juma
Iko poa habari
Rehema
Ni kocha anaejielewa
Fatuma kasomo
Iko poa
Caroline
Rangnick ni kocha mzuri
warda
Ajitahidi tu#Meridianbettz
Mwanahamisi
Kocha mzuri sana
Adelta
Kocha mzuri Sana anastahili pongezi
Johnmary joel
Hongera zake#meridianbett
Asia Abdy
Tunategemea mazur kwa Milan msim ujao
Magdalena
Hongera sana kwake anastahili
Dorophina
Rangnick anakazi kubwa ya kufanya ili kuhakikisha timu inakuwa kwenye daraja zuri
David Pere
Huku kubadisha makocha kila Mara kuta wagharimu sanaa
Tatu
Habari njema kwa mashabiki wa Milan tuomba akafanye mapinduzi huko
felister
habari njema kwa wadau wa ac milan
isha
Yuko vizuri kocha huyu
Genia Sikaluzwe
Ni habari njema kwa mashabiki wa milan
Samira
Habari njema kwa mashabiki wa ac millan
Evaluziga
Asanteni kwa taarifa
Leonard
Jambo zuri
Salma
Hongera yake
Khadija
Habari njema kwa mashabiki wa milan#meridianbettz
Flomena
Taarifaa nzuri
devotha
habari njema kwa mashabiki wa millani
Samiah
Hii taarifa ninzuri
Ernest
Paolo Maldini sema amejitahidi kwa kadri ya uwezo wake kuweka timu katika nafasi nzuri sema hawakuwa na Bahati
Zeiyana
Ni jambo zuri.