Uchambuzi Mechi ya AC Milan Dhidi ya Juventus.

AC Milan leo siku ya Jumanne wataumana na Juventus, ambao watakuwa wakitafuta ushindi wa tano mfululizo tangu kurejea kwa Serie A.

Juve wataelekea San Siro wakiwa wanaongoza ligi kwa tofauti ya alama saba mbele ya Lazio baada ya kuwafunga Bologna, Leece, Genoa,na Torino katika michezo yao minne waliyocheza.

Wakiwa kwenye mbio za kutetea ubingwa wa Serie A Juventus wamefunga magoli 13 wakati nyota wao raia wa Ureno Chridtiano Ronaldo akiweka kambani kwenye michezo yote aliyo cheza na kufanya afikishe goli 25.

Milan pia wapo katika kiwango kizuri tangu kurudi kwa ligi hiyo na hawana nia ya kupoteza mchezo huo baada ya kupoteza mchezo wa awali mwezi Novemba ambapo Juve walishinda 1-0 wakiwa uwanja wa nyumbani.

Ibrahimovic alifunga kwa mkwaju wa penati katika kipindi cha kwanza cha mchezo siku ya Jumamosi katika ushindi wa 3-0 katika dimba la Stadio Olimpico.

Mswideni huyo mwenye umri wa miaka 38 amefunga mara kumi kwenye ligi ya Serie A tangu ajiunge na AC Milan tangu ajiunge nayo tena aktokea klabu ya Galaxy yenye maskani yake USA.

Zlatan alishawahi kuichezea klabu ya Juventus kwa misimu miwili akitokea Ajax kwa dau la £12m mwezi Agosti mwaka 2004. Na mchezaji huyo atakuwa na kiu ya kuifunga klabu yake hiyo ya zamani.

Lakini Juve ambao watakuwa ugenini wanaonekana kuwa imara zaidi kwenye mtanange huo.
Upande wa Sarri wameshinda mechi kumi na Ronaldo ambae amezidi kuvunja rekodi kila akiingia uwanjani huenda akaweka rekodi mpya kwenye mchezo huo.

42 Komentara

    Don’t miss Cr7 vs Cadabla

    Jibu

    Bonge LA mechi

    Jibu

    Hapa kadabla atahakikisha awaonyeshe juve ye ni fowadi matata pia lakini itakua mechi ngumu sana ambapo. Juve wanataka kuhakiksha wanachukua ubingwa

    Jibu

    Maoni:Mechi kali sana hiyo

    Jibu

    Itakua mechi ngum San Kwa juve naamin AC Milan watatoa upinzan wakutosha

    Jibu

    Ac milan hatoki leo.

    Jibu

    Itakua game hatar sana maana Juventus sio mchezo akili yao yote iko kombe la serie A

    Jibu

    Mtanange wa hatari

    Jibu

    Makala nzuri

    Jibu

    Itakuwa mechi Kali Sana hii

    Jibu

    Ipo poa hii

    Jibu

    Hii mech kal sana 👍

    Jibu

    itakua game hatar sana

    Jibu

    Tunataka kuona wakongwe wa mpira Kati ya cr7 na cadabla jinsi gani wataoneshana ubaba.

    Jibu

    Mechi kali sana hii

    Jibu

    mechi Kali sana pande zote mbili

    Jibu

    Patachimbika ..Ila napeleka kwa juve

    Jibu

    👏

    Jibu

    Mechiii kalii

    Jibu

    Mechi kali cr7 ndan hakuna kukosa

    Jibu

    Bonge la makala

    Jibu

    Hiyo mechi itakua nzuri

    Jibu

    Asante Kwa uchambuzi

    Jibu

    Big mechi

    Jibu

    Nawaombea Juve Ashinde tu#Meridianbettz

    Jibu

    Mechi Kali sana

    Jibu

    Mechi hii ilikuwa nzuri sana kwa upande wa Milan walikuwa makini sana na kifanikiwa kushinda

    Jibu

    Ilikuwa mechi matata sana

    Jibu

    Makala safi sana

    Jibu

    Wengi wetu tulidhani mechi utakuwa ngumu sanaa kumbe daahh ingekuwa rahisi sana kwa AC Millan

    Jibu

    Mechi kali vibaya hatoki mtu mpaka kieleweke

    Jibu

    mechi ilikua kali sana

    Jibu

    Mechi kali

    Jibu

    Mechi likuwa Kali mno hiyo

    Jibu

    Juve atashinda hii yupo vizuri sana

    Jibu

    Ilikuwa baraa

    Jibu

    Itakuwa mechi kali sana#meridianbettz

    Jibu

    Mechi ilikuwa ya baridi tofauti na nilivyozan

    Jibu

    hii mechi ilikua kawaida tu

    Jibu

    Mtanange hulikuwa watari sana palichimbika

    Jibu

    Bahati ililala upande wa Ac Milan

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.