Jurgen Klopp: Nataka Kujaza Wafungaji Liverpool

Unaweza kufikiria ukiwa na kikosi kinachojua mashambulizi haswaa! Hii ni ndoto ya Meneja wa Liverpool Jurgen Klopp. Klopp anatamani kikosi chake kujaa washambualiaji ambao watakuwa wanacheka na nyavu tu.

Liverpool walifanikiwa kushinda mechi yao ya kwanza kama mabingwa wakiwa Anfield dhidi ya Aston Villa jumapili. Waliwachapa Aston Villa bao 2-0.

Jones, akiwa mmoja wa wachezaji waliosaini mkataba mpya, alicheza na nyavu kulikamata goli la pili la Liverpool. Klopp anasema anatamani kuwa na aina hii ya wachezaji.

Wachezaji wengi zaidi wanaofunga magoli anaamini wanaweza kupatikana kutoke akademi, na anaamini ndoto yake itafanikiwa klabuni hapo.

“Nawapenda sana hawa vijana waliojitolea hatma yao hapa. Akademi yetu imekuwa ikitoa wachezaji wazuri sana miaka ya hivi karibuni. Tunajaribu.”

“Ndoto ni kuwa na vijana kutoka akademi. Kuwa na kikosi kilichojaa wafungaji”

 

 

 

42 Komentara

    Wazo zuri sana

    Jibu

    Ni habar njema kwa mashabik wa Liverpool####

    Jibu

    Kloop ni kocha hodari anachofanya uhakikisha anakitekeleza hilo limemsaidia kuchukua ubingwa pia

    Jibu

    Kloop kocha bora sana ana mipango mizuri

    Jibu

    Maoni:klopp ni kocha hatari hii nimoja ya mbinu ya kuiboresha timu yake

    Jibu

    Yes wazo zur Sana credit Kwa kloop

    Jibu

    Klopp yuko vizuri sana.

    Jibu

    Klopp kocha mzuri sana

    Jibu

    Kocha mpambanaji

    Jibu

    Ni jambo zr nq kila kocha anapenda kuwa na washambuliaj hatar sana

    Jibu

    Katika makocha wazur dunian kwenye historia hauwez kumsahau jurgen klopp maana Alianza kucheza kandanda katika timu ya vijana ya TuS Ergenzingen na baadaye FC Pforzheim. Alipotoka huko aliingia kucheza katika klabu tatu za mjini Frankfurt Eintracht Frankfurt II, Viktoria Sindlingen na Rot-Weiss Frankfurt. Mwaka 1990 alicheza kwenye mchezo akiwa na Rot-Weiss dhidi ya Mainz 05 na kuipandisha ligi daraja la pili la Bungesliga. Katika mchezo huo ulimfanya kocha wa Mainz amwangalie kwa makini na klabu hiyo ilifikia makubaliano na Rot-Weiss kusakata kabumbu kwa wenyeji hao wa Mainz. Katika miaka yake 15 Klopp ameitumikia klabu ya Mainz kabla ya kuwa meneja wa klabu hiyo. Alichukua mikoba ya kuinoa klabu hiyo mwaka 2001 hadi 2008 na kuweka rekodi ya kuwa kocha aliydumu muda mrefu kuinoa miamba hiyo ya Mainz. Katika kipindi chote Klopp alifanikiwa kuipandisha Bundesliga. Mwaka 2008 alipata fursa ya kuchukua mikoba ya kuinoa klabu ya Borussia Dortmund. Akiwa Signal Iduna Park aliiongoza kutwaa taji la Bundesliga mwaka 2011 na 2012 pia Kombe la Ligi la Ujerumani la DFB Pokali mwaka 2012, DFL Super Cup 2013 na 2014. Mbali na hilo alifanikiwa kuifikisha fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya na kuishia kushika nafasi ya pili mwaka 2013. Klopp alitwaa tuzo ya Kocha Bora wa mwaka wa Ujerumani mwaka 2011 na 2012 kabla ya kuondoka nchini humo na kutimkia England mwaka 2015. Akiwa Dortmund nako aliweka rekodi ya kuwa kocha alaiyedumu muda mrefu kuiongoza BVB. Oktoba 2015 alitua katika viwanja vya Merseyside huko Anfield

    Jibu

    Safi klopp akiri nyingi

    Jibu

    Safi yupo vizur

    Jibu

    Kloop utatisha Sana katika eneo la ushambuliji ila Ina paswa uangalie sehemu ya kiungo na beki kwa sababu ni msingi mkubwa wa ushindi katika timu.

    Jibu

    Kocha klopp yupo vzr

    Jibu

    Upo vzr na hii itazidi kuimaoisha kikos cha Liverpool na kujipanga kwa msimu ujao..

    Jibu

    Good idea#meridianbettz

    Jibu

    Kocha yuko sahihii

    Jibu

    Mashabiki Liverpool habar njema

    Jibu

    Kloop namkubali sn

    Jibu

    Iyo ndoto yako ni nzuri

    Jibu

    Clopp anajua anachokifanya n kocha mzur san

    Jibu

    Klopp Sasa hivi Anajidai sana#Meridianbettz

    Jibu

    Klopp Yuko vizuri sana

    Jibu

    Klopp Yuko vizuri

    Jibu

    Klopp ni kocha mzuri sana huyo

    Jibu

    Klopp ni kocha anatumia akili nyingi sana

    Jibu

    Utakuwa ni vizuri sanaa maana bila ya kuwa na washambuliaji wengi huwezi kuifanya vizuri pale baadhi ya washambuliaji wanapopaya majeraha

    Jibu

    Liver kwa sasa wapo vizuri sana cha msingi Ni ela tu ya kusajilia wachezaji wakali

    Jibu

    Klopp yupo vizuri

    Jibu

    Safi sana klopp ni wazo nzuri

    Jibu

    Klopp namkubali sana mtu mbaya

    Jibu

    Klopp jembe sana ana future nzuri sana na timu yake

    Jibu

    Kocha mmpambanaji

    Jibu

    Yupo sahihi kama atafanikiw mpango wake

    Jibu

    Wazo zuli kwa mashabiki wa livepool#meridianbettz

    Jibu

    kocha yupo sahihi

    Jibu

    Amewaza jambo zuri sana

    Jibu

    Jurgen Klopp anajua nini anakifanya kocha huyo

    Jibu

    Kocha yupo sahihi

    Jibu

    Hapa nimemkubali Klopp

    Jibu

    Kocha yuko vzuri sana

    Jibu

Acha ujumbe