Licha za kuhusishwa zaidi na tetesi za kuondoka klabuni hapo, kwa mujibu wa chanzo kutoka klabuni hapo Jadon Sancho hatarajiwi kuondoka klabu ya Borussia Dortmund siku za hivi karibuni.
Nyota huyu ambaye aliwahi kuwa kinda wa Manchester City, amekuwa akihusishwa na kurejea Uingereza baada ya kuitumikia Dortmund.
Vinara wa Ligi Kuu Uingereza, Liverpool pamoja na Manchester United walilipotiwa kuwa mbioni kuisaka saini ya nyota huyu amabye anatajwa kuwa na thamani ya €100m.

Kuelekea mechi yao ya kwanza, ya Jumamosi hii, Jadon Sancho tayari alikuwa amecheka na nyavu mara 17 na kutoa asisti 16 kwenye msimu wa Bundesliga wa 2019/20. Kwa ujumla amecheza mechi 74 na kufunga magoli 30, huku akitoa usaidizi wa magoli 34 zaidi tangia alipokuwa na Dortmund.
Kwa mujibu wa Sebastian Kehl, ambaye ni ofisa wa klabu ya Dortmund, anasema kuwa hajaona dalili na shamra shamra zozote za Jadon Sancho kuondoka.
“Tunatarajia Jadon kucheza nasi msimu ujao.” alikiambia chanzo cha habari za michezo cha Sky. Alipoulizwa kuhusu Liverpool kuwa vinara wa kuiwania saini ya Sancho alisema “Huo sio ukweli”


Theonestina
Jadon Sancho ni kiungo bora.hawezi kiondoka Dortmund
Elika
Bora asalie hapo hapo alipo
David Pere
Naabakie tu maana Bei kubwa sana
Evaluziga
Sancho ni kiungo Bora mwacheni dortmund
Tahiya
Ni habari njema kama watafanikiwa kuipata saini yke
Rehema
Ni kheri abaki hapo Happ alipo tuu
Mwanaidi
Aendelee kubaki tuu
Antony Luseno
Dortmund wanayumba au wakala ashachukua hela
felister
ahsante kwa taarifa
Genia Sikaluzwe
Ni vema akaendelea kubaki tu
Caroline
Mi naona sawa tu .fresh kabisa
Hamidu
Sancho mkali wa pass za mwisho
Tusubil Kama ataweza kuondoka au la#meridianbettz
Devotha
Asante kwa taarifa
Zeiyana
Dortmond hawawezi kumgawa Sancho ikiangalia kipindi iki kigumu cha korona sio kweli
Dorophina
Sancho hawezi kuondoka
Amani
Bei kubwa sana# meridianbettz
Furahav
Namkubali sana.
Theckla
Sancho fundi wa mpila
isha
Sancho wewe ni hatari nakuelewaga sana
Hope mwaikuka
Nimeipenda hii abak hapo hapo
Sadick
Sancho ni mchezaji mzuri na Club haijamuweka sokoni. Nadhani vyombo vya habari vinakuuza uvumi jambo ambalo linaongeza bei yake sokoni#meridianbettz
Ernest
Ni vizuri maana anamsimu mzuri ndani ya Dortmund lakini kama anahitaji mafanikio zaidi ni muda wake kutimka kwenda club nyingine kubwa
Ester jackson
Safi sana hatimae amepata kwa kutulia sasa nangoja mambo tu
Shafii
Man u wameshindwa kumalizana na mund deal la Sancho
Povel
Sancho yupo vzr sana
mwakalosi
kwa sasa abaki huko huko Germany
Mwajuma
Talent player
Samiah
Bora abaki hukohuko Germany
Salma
Kama watapata saini yake watakuwa wameramba dume
Neema juma
Bora abakie tu
Leonard
Vizuri
lombo
afanye maamuz sahih
Emmy cleopa
Ahsante kwa taarifa
Magdalena
Abaki tu Dortmund
Latifa juma mohamed
Atafute msimamo abaki sehemu moja
Isaya massawe
Kubaki kwake Dortmund ni faida kwao maana kiwango chake kinaridhisha
Mwanahamisi
Namkubali kinoma
Furahav
Atajua mwenyewe,aende au abaki.
Gabriel
Good news 👍# meridianbet
Lydia Emmanuel Magoti
Namkubali Sana huyo nibora abaki tuu
Agness
Abaki hapohapo ndio kunamfaa
Samira
Sancho ni fundi sana katika soka abaki tu Dortmund
Mariam mtandama
Asante meridianbet #kwa taarifa