Jose Pedraza Amnyoosha Mikkel LesPierre.

Pambano la masumbwi lililokuwa likisubiriwa na watu kati ya Jose Pedraza (27-3, 13 KO’s) 143.9 lbs na Mikkel LesPierre (22-2-1, 10 KO’s) 143.5 lbs , limefanyika leo alfajiri baada ya kuhairishwa kwa wiki mbili.

Mchezo huo ulipangwa kufanyika mwezi wa sita tarehe 18, lakini baadae ulihairishwa baada  ya kocha wa Mikkel LesPierre kukutwa na maambukizi ya virusi vya Corona.

Pambano hilo lililofanyika leo Alfajiri katika ukumbi wa MGM-Grand Ballroom katika jiji la Las Vegas, Nevada. Limeshuhudiwa Jose akitwaa ushindi wa alama baada ya kupigana kwa mizunguko 10.

Mchezo ulianza kwa Pedraza kumrushia mkonde mazito kichwani, lakimi mengi yaliishia mwilini na kufanya LesPierre aweze kumaliza mzunguko wa kwanza.

Ni dhahiri katika mzunguko wa tano LesPierre alizidiwa, na kufanya kazi kuwa rahisi kwa Jose Pedraza.

Katika mzunguko wa mwisho, Pedraza alimakiza kwa miguso ya mwisho na kumdondosha, lakini LesPierre aliinuka na kupambana mpaka mwisho wa pambano.

Lakini jiihada zake, hazikuzaa matunda na majaji walimkabidhi ushindi Pedraza kwa alama 100-88 na majaji wawili walitoa alama 99-89.

 

 

54 Komentara

    jose yuko vzur mambo moto na masumbwi

    Jibu

    Lilikuwa bonge la pambano na hongera kwa Pedraza

    Jibu

    Asanteh kwa taarifa

    Jibu

    Pambano lilikuwa matata sana wote walikuwa na mchuano mkali

    Jibu

    Pambano lilikuwa la kukata na shoka

    Jibu

    Asante kwa taarifa#meridianbettz

    Jibu

    Asante kwa makala nzuri

    Jibu

    Pambano lilikuwa kali sana

    Jibu

    Asante kwa habari njema

    Jibu

    Pambano lilikua sio la kitoto ngumi jiwe

    Jibu

    Pambano la kusisimua

    Jibu

    Jose Pedraza sio bondia wa mchezo mchezo ,kwa mpambano ule hasingeacha kupasua ,ulikuwa mkali sana

    Jibu

    Ahsant meridian kwa taarifa

    Jibu

    Jose yupo vzr#meridianbettz

    Jibu

    pambano lilikua kali sana

    Jibu

    Hongera Sana Jose pedreza

    Jibu

    Kwa mashabiki tusiofahamu vema sheria za ndondi ushindi wa points huleta ukakasi, huvutia pale Bondia anashinda kwa TKO AU KO#meridianbettz

    Jibu

    Jose ngumi jiwe

    Jibu

    Hili pambano halikuwa na haki kabisa maana ukiangalia vzur tunaona Jose pedraza alikuwa anashambuliwa sana na Mikel les Pierre sana
    Natukiangalia kiwango cha les Pierre n kikubwa mno kulingana na Jose pedraza
    Kwan mikkel les Pierre natambua uwezo wake tokea mwaka 2016 ilikuwa n
    tarehe 17-4-2016 ambapo alipompiga Rafael Contreras kwa TKO katika mashindano ya USA boxing ilikuwa n professional fight pia alirudiana nae na kumpiga tena na mwaka uliofuata alipambana na Mario beltre ambaye ananajulikana kwa kuwepata na kurusha mwaka 2017 alimpiga kwa TKO
    Tarehe 17-11-2018 alikutana na Wilton Montero katika professional fight uwanja wa broklny casino in Verona na kumpiga kwa TKO ndipo kukutana na Noel Murphy chin ya promota Lou dibella kwa wapenda ngumi tunamtambua kwa kuaandaa michuano mingi sana
    Hivyo basi ntapenda pambano lirudiwe kwa haki kabisa
    # Gabriel

    Jibu

    Asante meridianbet#

    Jibu

    Pongezi kwake#meridianbett

    Jibu

    Pambano lilikua kali

    Jibu

    Yupo poa sana pedraza alistahili ushindi huo

    Jibu

    Alistahili ushindi inaonekana alijiandaa vyema kwa ajili ya pambano pongezi Sana kwake

    Jibu

    Nilijua tu Jose Atashinda#Meridianbettz

    Jibu

    Lili kuwa bonge rapambano

    Jibu

    Mambo ya ngumi jiwe hayooo

    Jibu

    Jose katshaa

    Jibu

    Pambano Kali Sana hili

    Jibu

    Pambano si lakitoto

    Jibu

    Jose anatisha,hongera sana.

    Jibu

    Lilikuwa nj pambano nzur sana kuliona kulinganisha na mapambano niliyowai kutazama round 10 za kibabe

    Jibu

    Pambano la kibabe

    Jibu

    Lakibabe pambano

    Jibu

    Lazima apasuke mtu

    Jibu

    Pambano lilikua hatari

    Jibu

    Makala nzuri

    Jibu

    Pambano kalii

    Jibu

    Duu hiyo ilikua zaid ya masumbwi kuta nikuvute wanaume kazini

    Jibu

    Pambano la maana

    Jibu

    Safi Sana maana jamaa Alikuwa anajigamba Sana kuwa hakuna bondia anaheweza kumpiga ,Sasa kayakanyaga, Sasa atakuwa na heshima

    Jibu

    Pambano lilikuwa Moto Sana mmoja alionekana akimshambulia mwezie ipasavyo.

    Jibu

    Tarehe 17-11-2018 alikutana na Wilton Montero katika professional fight uwanja wa broklny casino in Verona na kumpiga kwa TKO ndipo kukutana na Noel Murphy chin ya promota Lou dibella kwa wapenda ngumi tunamtambua kwa kuaandaa michuano mingi sana
    Hivyo basi ntapenda pambano lirudiwe kwa haki kabisa bila kuwa na upendeleo #meridianbettz

    Jibu

    Pambano kali sana

    Jibu

    Ilikua pambano Kali sana kwa hawa watu walukua wanatambiana sana sas mzizi wa fitina umeisha

    Jibu

    Lilikuwa bonge la pambano.

    Jibu

    Jose ngumi jiwe

    Jibu

    Pambano la kibabee hilo

    Jibu

    kumpiga kwa TKO ndipo kukutana na Noel Murphy chin ya promota Lou dibella kwa wapenda ngumi tunamtambua kwa kuaandaa michuano mingi sana
    Hivyo basi ntapenda pambano lirudiwe kwa haki kabisa

    Jibu

    Hakika pambano lilikua la kukamiana

    Jibu

    Asante kwa taarifa

    Jibu

    Maoni:Duuuh bonge la pambano!

    Jibu

    Hongera jose

    Jibu

    Good update

    Jibu

Acha ujumbe