Juventus Kuchunguzwa na Polisi

Klabu ya Juventus imeingia tena kwenye mikono ya sheria baada ya polisi kuanza kuwachunguza viongozi wake wa juu dhidi ya matumizi ya pesa zilizotumika kuuza na kununua wachezaji kati ya 2019 na 2021.
Mwenyekiti Andrea Agnelli, kaimu mwenyekiti, mchezaji wa zamani Pavel Nedved, na msimamizi mkuu wa fedha Stefano Cerrato, na viongozi wengine waandamizi wapo chini ya upelelezi dhidi ya matumizi hayo.
Juventus
Juventus

Muendesha mashitaka Anna Maria Loreto, alisema kwenye waraka wake uliotoka siku ya ijumaa kwamba upelelezi huo ni kuthibitisha kama maafisa wa Juventus walitoa taarifa za uongo kwa wawekezaji na kutoa risiti kwa malipo yasikuwepo.

Mwezi septemba, klabu ya Juventus walisema kuwa taasisi ya udhibiti masoko ya Italia “CONSOB”, walikuwa wanawachunguza kwenye mapato waliyopokea kutoka kwenye mauzo ya wachezaji, waendesha mashitaka wa serikali ya Italia mwezi uliopita walianza uchunguzi kuhusu uhamishisho wa baadhi ya wachezaji kwenye serie A.


PANDISHA THAMANI YA DAU LAKO NA FAI CAI SHEN

Wiki nyingine ya kushinda mamilioni ukiwa na kasino maridhawa za meridianbettz. Mchezo pendwa wa Fai Cai Shen unakupa thamani ya dau lako, kwa kiasi kidogo cha dau unaweza kushinda mkwanja mrefu.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.