Kama ilivyo kwa makocha kuwa na wachezaji wao, hata wachezaji wanamakocha wao. Harry Kane kuikacha United.

Manchester United ipo kwenye hatua za mwisho kumtambulisha Erik Ten Hag kama kocha mpya wa klabu hiyo. Mbio za kocha mpya wa United ziliwapa nafasi Mauricio Pochettino na Ten Hag na, kwa hali ilivyo, Ten Hag amelamba jokeri.

Iliaminika kuwa, kama Pochettino ndio angepewa timu, kulikua na uwezekano mkubwa Kane angejiunga na United. Hii ni kutokana na uswahiba uliotukuka kati yake na kocha huyo ambaye ndiye aliyempa nafasi ya kuonesha ubora wake uwanjani.

Ten Hag Afikia Rekodi ya Cruyff Katika Eredivisie.

Mada ya Harry kuondoka au kubaki Spurs haijaisha miongoni mwa wanamichezo na fununu za Pochettino kwenda United, ziliongeza cheche kwenye mada hii ambayo kwa sasa, United haipo kwenye nafasi baada ya Ten Hag kupewa timu.


VUNA MKWANJA NA AVIATOR

Maana halisi ya ushindi mkubwa unaipata katika kasino ya mtandaoni ya Aviator kutoka meridianbettz. Andaa kapu la ushindi wa mkwanja na beti kibao za BUREEE.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

SOMA ZAIDI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa