Scotland wamethibitisha tarehe ambayo watacheza nusu fainali ya kufuzu kombe la dunia dhidi ya Ukraine kwenye dimba la Hampden Park siku ya jumatano June 1 baada ya kuahirishwa kwenye mchezo wa awali ambao ulipangwa kuchezwa mwezi march.

Mazungumzo yaliofanyika kati ya mataifa hayo mawili, huku FIFA na UEFA wakipanga tarehe amabyo ingefaa kwa mchezo kuchezwa na pande zote kufikia makubalino na kuthibisha kuwa mchezo huo kuchezwa june 1.

Scotland

“Kwanza mi furaha kubwa kuwez kuwakaribisha Ukraine kwenye dimba la Hampden Park mwezi june. Alisema mkurugenzi wa FA nchini Scotland Ian Maxwell.

“Tumekuwa waaminifu kipindi chote ambacho mchezo ulighairisha kutoka kwenye tarehe ya awali, ilikuwa sahihi na ndicho kitu pekee cha kufanya kwa kipindi kile ma tunatazamia kuwakaribisha ukraine kwenye dimba la t Hampden Park mwezi june.”

Mshindi kati ya Scotland na Ukraine atakutana na Wales mjini Cardiff june 5 kwenye mchezo wa fainali ya kufuzu kombe la dunia nchini Qatar 2022. Mshindi atakayepatika kwenye fainali hiyo ataingia kwenye kundi la England, Iran na Marekani.

Awali washiriki wa kundi la Ukraine kwenye michezo ya kufuzu walipendekeza, Ukraine kufuzu pasipo kushiriki michezo ya kufuzu, lakini kutokana kukosa usawa wa michezo kwa timu tatu zilizopo swala hilo lilishindikana.


 

VUNA MKWANJA NA AVIATOR

Maana halisi ya ushindi mkubwa unaipata katika kasino ya mtandaoni ya Aviator kutoka meridianbettz. Andaa kapu la ushindi wa mkwanja na beti kibao za BUREEE.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

SOMA ZAIDI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa